lirik lagu don santo - dama langu
ninatuma huu ujumbe ndani mwa wimbo babe;
ili upate
na zile cheche za matusi alizo nimimina nazo;
mwambie, nimeshapona
kwa mawazo yangu, nilikungojea, daily;
sinyora, nikuite nini wewe
1, 2 i miss you too
ulipotoka nilikonda
and 3,4, stick by me
rudi nyumbani nakukunda
ombi langu
i’d rather live with your bad side
than to read about your good side
mwambie
mie wake, ye ni w-ngu mama
umeniwahi kwa pupa
sitaki tena machupa
umenishika na dumba
mmmmmh
waniuliza, ‘mekuchaguakwani?
can i really, really love you in the right way
sipendi tena tukipitana kwa highway
baby take my hand
lemme be your man
maybe, ni siri kuwa wako tena
tell me, nipate kuwa wako bwana
eeeeeeeh bora uhai, ya elohim
1, 2 i miss you too
ulipotoka nilikonda
and 3,4, stick by me
rudi nyumbani nakukunda
ombi langu
i’d rather live with your bad side
than to read about your good side
mwambie
mie wake, ye ni w-ngu mama
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu charlie heat - charlie weak
- lirik lagu arizona zervas - homies
- lirik lagu lil peep - let's get it
- lirik lagu lil peep - kisses in the wind
- lirik lagu madilyn paige - we are the riptide
- lirik lagu şehinşah - yaz yağmuru
- lirik lagu salt ashes - burn for you
- lirik lagu lefturn - hey!
- lirik lagu florent pagny - rafale de vent
- lirik lagu florent pagny - ne me quitte pas