lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu don jatelo - tabasamu langu

Loading...

intro [instrumentals ]

chorus]
moyoni mw-ngu, nina amani,
ninayopata kwako
mpenzi w-ngu, usiende mbali,
u tabasamu langu. x2

[verse 1]
mpenzi mwandani mahabubu
naanza kwa kuomba msamaha
nilijaribu na sikuweza
kuyasarifu maneno matamu x2
kuna makosa yalifanyika
ukaondoka kw-ngu vigafla
sikuamini kwamba waenda
mpenzi we x2

[chorus]
moyoni mw-ngu, nina amani,
ninayopata kwako
mpenzi w-ngu, usiende mbali,
u tabasamu langu. x2
[verse 2]
kwako nimeonja asali
na sitaki tena sukari
wewe ndiwe mpenzi w-ngu
eeeeeeeeeee

[instrumentals]

kwa mwengine sitokwenda
mola wewe kanitunuku
itakuaje wewe karibu
mpenzi ….

[chorus]
moyoni mw-ngu, nina amani,
ninayopata kwako
mpenzi w-ngu, usiende mbali,
u tabasamu langu. x2


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...