lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu dollar lossa - utamu wangu

Loading...

macho yana kazi gani, nikikosa kukuona
moyo w~ngu taabani, mwili unapatwa na homa
wewe beibee, weewe beibeee…

umenishiika maini siyo masihara
una mapeenzi ya pwani mpka na ya bara
haaa beibee, weewe beibeee…

sasa nimepoona, sina hofu teena
wewe mwenye huruma, ntakupenda daima
sasa nimepoona, sina hofu teena
wewe mwenye huruma, ntakupenda daima

ouh! wouh! woooh! we utamu waangu
ouh! wouh! woooh! we utamu waangu
nitakupa ya moyoni, we utamu waangu
nawewe unipe ya moyoni, we utamu waangu
nanitakutunza kama mboni, we utamu waangu
nawe unitunze kama mboni, we utamu waangu

watakuja wenye mali, wenye nyumba na magari
hao ni wadanganyifu, usinishushe daraja
unipende kweli kweli, j~po kapuku wa hali
ntakupenda mara dufu, hutoikosa faraja

sasa nimеpoona, sina hofu teena
wewe mwenyе huruma, ntakupenda daima
sasa nimepoona, sina hofu teena
wewe mwenye huruma, ntakupenda daima
ouh! wouh! woooh! we utamu waangu
ouh! wouh! woooh! we utamu waangu
nitakupa ya moyoni, we utamu waangu
nawewe unipe ya moyoni, we utamu waangu
nanitakutunza kama mboni, we utamu waangu
nawe unitunze kama mboni, we utamu waangu

wanimaliza, wanimaliza
beiby wanimaliza, wanimaliza
ukinishika huku, wanimaliza
ukinipiga busu we, wanimaliza
we nikila kitu, wanimaliza
moyo w~ngu uchukue, wanimaliza
mpaka juu, mpaka juu, mpaka juu, mpaka juu, wanimaliza
mpaka juu, mpaka juu, mpaka juu, mpaka juu jama, wanimaliza


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...