lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu dkay the dreamer - mimi freestyle

Loading...

intro..

am grateful for everything men

am grateful

verse

ah

mwana ambae amelewa na wazazi
amekulia poor life mwanzo mwisho kazi kazi
(yeah)
akaaminishwa shule asome akili ndo mtaji
kwakuwa home hakuna kitu nguvu jasho ikawa jadi
akili yake haigandi
hustler mtafutaji
habadili itikadi
amejaliwa vipaji
muda ndo huamua wapi ye awe incharge
he goes hard
sio mtu wa kelele michongo mbele
impossible to possible ushikwe mchele
sio mtu wa misele
mtu flani hafananii ukimuona hauwezi amini km yeye
aaah

jah bless
kesho itakuwa itakuwa fresh
anajua anachotaka iko wapi cash
hеartless
ashaenda high yuko race
rеgardless
kichwani katu dhana haipotei
hafanyi fanyi ilimradi
maneno mengi hahitaji on the run for the money,for the honey, for the wine )
(d~mn d~mn d~mn d~mn d~mn)
kazi juu ya kazi
sio mzugaji
real man like army hachomeshi ramani
yaani
mwana mwanajeshi
(d~mn)
yuko real hakwepeshi
(d~mn)
mwana yuko simple na katu hawezi change
(d~mn d~mn d~mn)
mwana wa mapinduzi anytime yuko ready (d~mn)
mwana yuko fit,maumivu yamemjenga kuwa yeye
hata ukimdiss vipi haforce we umwelewe
mana hauwezi kuwa yeye
hana nongwa mwana muda mwingi yuko mwenyewe
yeah haforce we umwelewe
anafanya anavofanya ili ashike cash
mvua jua fresh
kwake vyote bless

na

anaamini atatusua subira kwake so case
ashazoea stress kuziface
now

mwana ambae lowkey hajui kushuboka
(hajui kushuboka)
hawezi change focus
mwana ambae
hana pigo zaki lofa
(hana pigo zaki lofa)
kujaribu hawezi choka
huwezi mjua zaidi ya jina
hawezi kukuvunjia heshima
the dreamer,the winner

utajuta joto kupima ,ukimdharau
anaishi beast life don’t ask how
usisahau
antisocial,immortal,poetry apostle
(hakuna boko)
singida mzawa all the way to global
(we ain’t local)

yeah
it’s time now
anaroho yakuridhika
akipata kidogo ni uhakika
kikubwa kitafika

alipotoka hasahau
manyanyaso dharau
f~ck that hakuna kipya

kila rika
hawatengi ndg jamaa popote anapopita
anaflex kiafriaka

full confidence kama simba kwenye nyika(dkay)
mwenda pole mawindoni ndo hushika

aaah
silent k!ller, tatu bila akiball
yupo na dira where to go…

na hajikuti much know
(wooooh)

black pillar on the show
always hoping for more
yeaah

yule mwana ambae mambo yake hayatabiriki
wanaposema atafeli anafaulu mr.plan nyingi (ah)
akiwa nacho havimbi haringi

(ah ah ah)
anaishi real life hata akiwa hana shillingi
na yule mwana ndo……

(heheeehee)
na yule mwana ndo mimi

yeaaah

jyiiiiiih

aah

the dreamer the dreamer the dreamer
yeah
the dreamer the dreamer the dreamer
(yeah yeah yeah yeah yeah yeah)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...