lirik lagu dj karashville - be strong (swahili music)
[intro]
yoo
karashville
hahaa
[verse 1]
mvumilivu hula mbivu
yangu haikosi vipocho
kwa kelele kama mbu
kunifika koo~oo
wananizingira na kiu
kunifyonza ohh no
mwenyezi kunipigania
hawaniwezi no noo
mwnyezi kuniangazia
hatua zote nachukua
mwenyezi kunizingatia
wakati napotea njia
hua sina hima
kusonga aste aste
kubeba zangu akiba
tangu enzi za kale
[pre~hook]
kuzaliwa ni baraka
ila siku ya pumziko
kuna wale waamkao
na waamshwa na wito
wakati wa fanaka
na wakati wa likizo
niko miongoni tulio
lala na moja jicho
[chorus]
ata mashida yaniandame
najipa motisha
kuvumilia kwa unyonge
cuz am a born winner
wanao sema wacha waseme
mwenyezi kanlinda
me kuzidi songa mbele
na sitachoka kuimba
ata mashida yaniandame
najipa motisha
kuvumilia kwa unyonge
cuz am a born winner
wanao sema wacha waseme
mwenyezi kanlinda
me kuzidi songa mbele
na sitachoka kuimba
[verse 2]
wengi nimejua wengi nimekosa
wengi nimeudhi wengi nimechocha
mniwie radhi
vile nilianza vile naendelea
mengi nimefanya mengi nitafanya
bila kuchoka
lengo ni moja na si ati ni hoja
na wala sio chocha na ni
kukamilisha maisha
mwisho ikiwadia itanipata nikiwania
ata kama sina uhakika
uzima wa milele
[pre~hook]
kuzaliwa ni baraka
ila siku ya pumziko
kuna wale waamkao
na waamshwa na wito
wakati wa fanaka
na wakati wa likizo
niko miongoni tulio
lala na moja jicho
[chorus]
ata mashida yaniandame
najipa motisha
kuvumilia kwa unyonge
cuz am a born winner
wanao sema wacha waseme
mwenyezi kanlinda
me kuzidi songa mbele
na sitachoka kuimba
ata mashida yaniandame
najipa motisha
kuvumilia kwa unyonge
cuz am a born winner
wanao sema wacha waseme
mwenyezi kanlinda
me kuzidi songa mbele
na sitachoka kuimba
[verse 3]
mvumilivu hula mbivu
yangu haikosi vipocho
kwa kelele kama mbu
kunifika koo~oo
wananizingira na kiu
kunifyonza ohh no
mwenyezi kunipigania
hawaniwezi no noo
mwnyezi kuniangazia
hatua zote nachukua
mwenyezi kunizingatia
wakati napotea njia
hua sina hima
kusonga aste aste
kubeba zangu akiba
tangu enzi za kale
[chorus]
ata mashida yaniandame
najipa motisha
kuvumilia kwa unyonge
cuz am a born winner
wanao sema wacha waseme
mwenyezi kanlinda
me kuzidi songa mbele
na sitachoka kuimba
ata mashida yaniandame
najipa motisha
kuvumilia kwa unyonge
cuz am a born winner
wanao sema wacha waseme
mwenyezi kanlinda
me kuzidi songa mbele
na sitachoka kuimba
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu marvin gardens - titanic (demo)
- lirik lagu godblessed_teo - russke dance
- lirik lagu teensilver - get punched
- lirik lagu maddie zahm - for the record
- lirik lagu young keez - fmp
- lirik lagu werke - stray
- lirik lagu lead belly - ain't you glad (blood done signed my name)
- lirik lagu williams - biography
- lirik lagu bongor - hipomán
- lirik lagu りりあ。(riria.) - ずるい君。