lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu dizo man - hip hop arusha

Loading...

[intro]
dizo man
a~town
arusha

[verse 1]
wananiita dizo man
kimuziki mi ni mkali, ‘sitabiriki kama dua la [albadir]
promota nipe deal
nioneshe hip~hop real
bongo fleva wana k!ll
wanaimba mapenzi wakati ukimwi un~z~di kuwa k!ll
usilete vita kali ya laiyon na morani
bongo fleva ndio laiyon, hip~hop ndio morani
a~town nnapoishi bado niko feel
sio kwa stimu za majani
nnavyo koki sikukosi
sikamatiki, sishkiki
sing’oleki, sijisifu
ngalimited mpaka mianzi
weka ‘wanted
weka ‘wanted
what? (what?)

[chorus]
hip~hop arusha, mikono juu
huu sio muda wa kungoja
underground wakilisha
hip~hop arusha, mikono juu
huu sio muda wa kungoja
underground wakilisha
[verse 2]
machizi w~ngu, wanangu
najifunza [? batu]
jumatatu, mi na kanyaga soli ya kiatu
cheka na watu ’ili upate utu
usipo cheka, watakuona chatu ama roho kutu
panga butu halikati kitu
mi nnasonga nitapata kitu
niko msitu nashika mtutu
natema sumu
nilikuwa mfungwa kwa sasa nipo huru
juk~mu langu kutembea taratibu
nisije nikawa bubu
eh, mungu nirehemu nimiliki albamu
safari hii ya hip~hop nizidi kuwa nayo mpaka pale itapofika
itapofika
what?

[post~chorus]
hip~hop arusha, mikono juu
huu sio muda wa kungoja
underground wakilisha
hip~hop arusha, mikono juu
huu sio muda wa kungoja
underground wakilisha
hip~hop arusha, mikono juu
huu sio muda wa kungoja
underground wakilisha
hip~hop arusha, ~sha, ~sha
huu sio muda wa kungoja
underground wakilisha
hip~hop arusha, ~sha, ~sha
huu sio muda wa kungoja
underground wakilisha
hip~hop arusha
mikono juu, ~juu, ~juu
mikono juu, ~juu, ~juu
mikono juu
huu sio muda wa kungoja
underground wakilisha, ~sha, ~sha
underground wakilisha, ~sha, ~sha
hip~hop arusha


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...