
lirik lagu dizasta vina - waridi
waridi na baba yake hazikuiva
mzee alimtia hofu waliweka distance
waridi alificha yaliyonisibu kwenye kichwa
tension kubwa mfano wa maadui baada ya vita
na alishazoea mzee k~mkemea
ilikuwa adimu sana kuona baba anamchekea
so, kila mzee wake aliporudi alijificha
kwani mtoto k~mwogopa baba ilikuwa sifa
alipopata shida alikaa kimya alitunza
alikosa jibu alivunga
hakuwa na mtu wa kuzungumza
alisema siku…. nitakuwa mkubwa nitahama nyumba
maswala ya shule ndio yalikuwa maongezi pekee
alipewa ada ilipofika tarehe
simu za mdingi yake ziliharibu sherehe
binti aliukosa upendo wa mzee, ilikuwa ni wazi
waridi alihama nyumba kwenda kuanza chuo
akawa huru kula kunywa kuchangua nguo
ndipo akagundua milango mipya ya ulimwengu
akafurahi, walimwengu wakampa funguo
akapiga picha dar nzima
akaijua posta, sinza palestina
akajua kuna zaidi ya kupika na kufua
mzazi alimficha dunia ikamfundisha asiyojua
akatokea baba mwenye fedha msitu
akamjali, akawa anamsikiliza kila kitu
akamk~mbatia kusema waridi i miss you
naye akafurahi kwakuwa ana daddy issues
huyu mzee hak~mf~kuza sebuleni
hakugomba alipofeli aliyofunzwa shuleni
alimwacha huru kuvaa mapambo ya mwambao
akamnunulia simu mixer bando za mtandao
akamwacha huru baada ya nyumbani kuwa mtumwa
alimgawia sehemu ya matunda aliyoyachuma
waridi alilala bila kurushiwa stimu
mzazi alivuta waya hakupokea simu
mazoea yakawa tabia, tabia ikawa hali
akampa mwili na hisia kila aliyemjali
amani ya kitu kidogo ikamvuta
hakuzuga, waridi hadi masomo akavuruga
waridi aliruka na wazee
waridi alishazuzuka na bazee
aliuk~mbuka sana ule ukali wa mzee wake
alighafirika sana na hakutaka uendelee
hakurudi nyumbani wazazi walipata homa
alifata k~mbatio mwanza na dodoma
wazee walimpa chips mayai na nyama choma
akamnunulia gari akamwambukiza ngoma
mimba juu binti akageuka single mother
dunia ikamwonyesha waridi jinsi ilivyo fasta
cycle ikaendelea, trauma juu ya trauma
drama juu ya drama na depression ikam~mendea
muunganiko wa huu upepo ukaleta tufani
sababu ya upendo mdogo alioukosa nyumbani
baba jinyoshee kidole mtoto akikosea
mpende akuheshimu akikuogopa tu amepotea
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu kleff - сделал это
- lirik lagu big orange - trephine
- lirik lagu cuizinier - rouler
- lirik lagu the hellp - here i am
- lirik lagu the last dinner party - woman is a tree
- lirik lagu keryhiroshi - jiayi
- lirik lagu gönül akkor - bir zaman ağlayıp koştun peşimden
- lirik lagu steve lawrence & robert alda - you help me
- lirik lagu mammoth penguins - strength in my legs
- lirik lagu otlo - inside and out