lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu dizasta vina - top shelf

Loading...

top shelf
top shelf
hii material ni top shelf
top shelf
top shelf (nana nana na)
top shelf
hii material ni top shelf
top shelf

ukiona sisiki wananihofia
ndio maana njia hizi haziishi doria
ujinga haufichwi na wigi ama kofia
na ukombozi ni kijiji cha utopia
regime ya michongo kama sisi
em niwape hizi nondo ndo’ mkasizi
sifanyi mitoko bado nipo soko na machizi
nilificha books wakati mnaficha mkongo na zigi
ki~design nimechoka questions
niko busy sina time ya kungoja sessions
wasanii wako soft soft sana
wanakoroga ka’ wakongo boziboziana
hapa hawachezi hawa ma~much know
sieleweki mara wave mara particle
“tukimsign sijui atachange hata kidogo?”
wee, kaa na pesa yako ila nigee heshima yangu bro
nipo mbali na so called social life
siishi ambapo vyombo ni vingi
nasafisha makolokolo ya chini kisha na~colonize
hii ndio tofauti ya simple na easy so apologies
chorus
naishi navyojisikia, maisha yangu simulizi
na hii record hidithi pia
natumia sanaa na kuonyesha hisia zangu
so nisome kwenye historia
hii material ni top shelf (top shelf) (nana nana na)
hii material ni top shеlf
hii material ni top shelf (top shelf)

vеrse ii
tunazama shop unaposinzia
hii security top hazipiti njia
prof nina lugha dope zaidi ya shakespeare
hii ni photon even clock never cl!ck here
nipo mbali nasubiri ambulance kufika
(mwite doctor my style is sick)
i’m out here sn~tching souls like ninja
(don corleone type of $h!t)
tuko race bro that’s why we die fast
thinking of next show singoji uni bypass
tunadate ma~good honey ma~fine ass
hawaombi vocha maduu flani wa high class
high school uki dive dive una die fool
ma tycoon wako high high wana fight too
unapo~try try unapewa chai dry
utoke nishai coz’ my hype style is type two
man, i now know how to spell home t.o.p
nini broken pieces mbele ya p.o.p?
nini hawa kings mbele ya g.o.d
logo kubwa kama 26 ama b.o.b
unataja jina huwezi kuhandle issue
hizi ngumu hawa~dance wakina angel nyigu
kaulize camp ya darful kijitonyama
nina catalogue 3 nzito sana
chorus
naishi navyojisikia, maisha yangu simulizi
na hii record hidithi pia
natumia sanaa na kuonyesha hisia zangu
so nisome kwenye historia
hii material ni top shelf (nana nanana)
hii material ni top shelf
hii material ni top shelf
top shelf
top shelf

top shelf (nana nana na)
top shelf
hii materia ni top shelf
top shelf


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...