lirik lagu dizasta vina - nobody is safe
yeah
you know who he!?? ah a.k.a chuji
hii sauti juu ya hili dundo ni ka’ ngumi
nikiteta hadithi utahisi ngugi
mi’ sio star, mi’ sio adui, mi sio scene mi’ ndo’ movie
waambie machizi mi’ nna stamina
so mbovu akija nampeleka speed mpaka asthma
na hizo trash zenu hazina, (hadhi)
nikiwaka naweza k-mgeuza fid akawa sajna
nna strong mandatory state kama cuba
nishakula beji navusha majeshi kama musa
napo-educate uuma
rumors zinasambaa mi’ ndo’ fundi nnaei-decorate boombap
na mama alinizaa brigedia
nina nyota ninaijua mitaa nashika njia
ukiijua game beba silaha kupigania
mi kituo cha mistari brother kaa mita mia
still panorama still tamaduni
still hiphop still rappers wan-z-kwa napobuni
mwanafalsafa nisietaka kuandikwa vitabuni
napigana vita nikifa n-z-kwa na wahuni, (still)
hayawi wananchi
hii ajenda ifike kwa kila mchawi kwenye mji
kwamba sitishiki wakileta drama siigizi
mi ndo’ mzizi sio tawi kwenye mti
mcees kama barbecue nyama choma
nawaunguza mpaka hawataki kuniona, (kama kifo)
mwanza na dodoma
zinasikika singo napo-dribble mtaani wananiita black maradona
i am ready i was ready i’ve born ready men
choose beautiful start or choose scary end
ka’ ulisikia mi sifai hii ni evidence
kibaha maili noja mi’ ni eight miles eminem
na mwoga ndio anashika tunguli
nishashika moja kamwe siwezi shika sifuri
sahau hoja za vioja zilizozikwa kivuli
mi’ bleed mwana siwezi kufichwa na kufuli
nishazoea msoto ndio nishibe
unaponipeleka foko ili nife (unajichosha)
zoea msoto ili ushinde, (kirahisi)
ka’ nishati ya jua navyorahisisha photosynthesis
natuliza nyongo nikiona zogo linakua
nakomaa na msoto maana ni msoto ulionifua
kuna jambo dogo ambalo hata watoto hawajatambua
kuna joto ila dizasta ni wa moto kushinda jua
that’s very sure that i am times two smarter
single sentence inayo–n-lysiz full chapter
zama school kwanza hii ni proof kwamba
hata ukitaga yai hauwezi ukaryhme juu ya hapa
kama gravity i’m still balanced
guaranteed punchlines na sk!lls kama warranty
twende!! zama maktaba ufungue vitabu babu hizi hesabu zimetoka nje ya hii galaxy
na mtapiga chata nikishapita
siku hiyo mlima utabusu anga nikishazikwa
vunja kikao mwana imeshathibitishwa
hakuna mganga au mw-nga wakuw-nga hiki kichwa
(sikiliza)
imagine begi bila bega
fegi bila mzuka ama mengi bila pesa
mbegu bila udongo ama bendi bila dancers
ama -rs-nal bila wenger hiyo ni game bila mimi
nna-explore physics na nakala za economy
chemistry maths lugha jiografia biology
karudie shule nishakuwekea benchmark
naimaliza rap kama unanidai follow me
kasuru mpaka nakuru nazuru kambi
kusambaza hisimu kuiweka huru nafsi
nahudumu kiharakati hata ushuru sitaki
na ufalme utasimama mbele ya msururu wa wanafki
rap messiah is back on earth back to take what i had to so bow down devil
conquer like a pirate n-gg- you don’t see me ‘coz i’m writing down in the quantum level
mi’ na perfection we the same thang
ni majirani sana and sometimes we play the same game
mi’ domination kama gang-bang
si-run down the city mi na-fly high n-gg- kama plane
the reason game ime-stuck haipigi counter
tunaacha asiye na hoja za msingi a-speak louder
nikiwafata sio battle tena ni slaughter
i don’t create fences i push the boundaries outer
sherehe hugeuka mazishi kama nikienda mi
herufi huitwa maandishi kama nikiremba mi
you’ve never been ready next time you better be
i’m the next big thing tanzania will ever see
mi nachana wewe cheche inatoka
ni mfano wa stimu za kaya nikupe uende k-moka
kichwa -sset kichwa panga jembe na shoka
hisia za kukupeleka sky ukacheze na nyota
ah!!
usipopaa hautui
mzembe ukizidi fuga nyembe hili dafu haulifui
hauwezi kujua shida ikiwa njaa hauijui, na hauwezi kua shujaa bila adui
dizasta
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu audra mcdonald - any place i hang my hat is home
- lirik lagu i haunt wizards - gnomzxx
- lirik lagu $dvllv$ - grave
- lirik lagu jalen jones - now i'll cry
- lirik lagu otto orlandi & the chordz - oddest goddess
- lirik lagu g.rxse - хэй, хоу (hey, hoe)
- lirik lagu 'נדב גדג - good vibes - nadav guedj
- lirik lagu warped - sa ké ay
- lirik lagu fnmg fitz - blind$ide
- lirik lagu u-know (tvxq) - change the world