lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu dizasta vina - get better

Loading...

leo imeshakuwa jioni
na matokeo tuliyotegemea kuwa mbioni
hata dalili zake hatuzioni
hivi vitu vinavunja imani
vinaleta simanzi
ila sisi ni simba wenye njaa kali
bila windo hatulali
tuna~claim watoto now hatukimbii mimba
tunatunza pesa maana haivutii shida
tunajua shida zina mipaka
ni kama mvua kali na jua ni vipindi tu vya mwaka
tunajua kesho haitasimama
ikiwa tutaendelea kulalama
na kulaumu kuhusu jana
tunajua kuwa nyumbani kuna jambo
ndio maana hatupigi bunda kwenda ng’ambo
ndio, nyumbani hakuna hali, hakuna ari wala hakuna hela
ila we know we will get better

yeah
polisi wanatuona nuksi sana sana
but hatupigi tungi kama jana
j~po bado tuko maskani tunaskuti tuki~think cheda
and we hope that we get better, get better
wanajua tumepoteza saa we need prophet
walk around with a broken heart, broken pockets
hatuhitaji party za k~mwaga hela
tunahitaji kujua for sure that we’ll get better
we need one hug, we need one hope
we need one love we need one door
so we know kuna kesho tena
and we hope that we get better, hope that we get better
tuko mbali na nyumbani mbali na mizani
tunajua tumepinda sawa sawa
ndoto zinaminywa kama chawa
tunawindwa na madawa
matumaini bado that we’ll get get better
hatupo special matokeo hofu
nini kesho wakati leo mbovu?
hoja zetu zinapingwa hazifiki kwao
simama ninja siri ya mabingwa ni hadithi zao
kunywa maji life marathon
kifo naye ni mwana so kabana koo
hatuzungumziwi na wazungumzaji
tunapoishi giza kali hata mungu haji
hawatuweki next kwenye talk show
maana itikadi hazi~match na hawa ma~top dog
kuwa na furaha ukiwa kwenye hali ngumu ni kwere
hakuna hali inayodumu milele ah
kichwa kime~concentrate msuba
tangu mtoto nina~contemplate kufa
hatufanani na sera madhabahuni
na nyumbani kwetu ni jela na makaburi
but we get better
we get better
i know that we’ll get better
i’m sure we’ll get better
we’ll get better


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...