lirik lagu diamond platnumz - nitarejea
[intro: diamond platnumz]
ah ah ah…
[verse 1: diamond platnumz]
vipi mizigo umeshaweka tayari
mmmh, ah ah
sijechelewa nkaachwa na gari
mmmh, ah ah
basi jikaze usilie mpenzi
ah ah ah
mi nitarudi niombee kwa mwenyezi
ah ah ah
zile taabu na njaa
msimu mzima mavuno hakuna
huwa nakosa raha
pale mkikosa cha kutafuna
roho yangu inauma
sema ntafanya nini
na pesa sina
nakuonea na huruma
bora niende mjini
kusaka tumaa
[chorus: diamond platnumz]
kama watoto wakinililia (kama)
waambie kesho nitarejea (nitarejea mama)
wadanganye na vibagia (wadanganye)
waambie pipi ntawaletea (ntawaletea mama)
kama watoto wakinililia (kama)
waambie kesho nitarejea (nitarejea mama)
nawe usichoke kuvumilia (usichoke)
na kila siku kuniombea (nirude salama)
[verse 2: hawa & diamond platnumz]
wanajua kwamba nafsi na roho
vitakuwa na wasiwasi…
uk~mbuke na moyo
utajawa na simanzi…
ntakapokuwa nakwenda shambani
afu niko peke yangu honey
ntapokuja kuwa na majirani nitaumia
ah ah ah…
pale napotoka kisimani (ah ah)
ama nipo na kuni kichwani (ah ah)
sina wakunitua nyumbani nitalia
maneno yako yananfanya nakosa raha
na mawazo
hata mwenzako sijawahi kufika dar
huu ndio mwanzo
vile nakwenda na sijui pa kukaa
wala mavasi, oh oh
we niombee niepushwe na balaa
na maradhi, oh oh
eh eh
[chorus: diamond platnumz]
kama watoto wakinililia (kama)
waambie kesho nitarejea (nitarejea mama)
wadanganye na vibagia (wadanganye)
waambie pipi ntawaletea (ntawaletea mama)
kama watoto wakinililia (kama)
waambie kesho nitarejea (nitarejea mama)
nawe usichoke kuvumilia (usichoke)
na kila siku kuniombea (nirude salama)
[bridge: hawa & diamond platnumz]
unapokwenda kama ukifika salama
utuk~mbuke na sisi
usisahau kama mkeo na wana
umetuacha na dhiki
vile usijali ila naomba chunga sana
ogopa na marafiki
wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama
waambie sidanganyiki
unapokwenda kama ukifika salama
utuk~mbuke na sisi
usisahau kama mkeo na wana
umetuacha na dhiki
vile usijali ila naomba chunga sana
ogopa na marafiki
wakikulaghai hata kwa mbegu za mtama
waambie sidanganyiki
eh eh
[interlude: diamond platnumz]
nitrarejea mama
niombee nirude salama
oh, watoto wadanganye
hii…
ooh ooh ooh, oh oh
tusale
usijali
hmm, kama…
[chorus: diamond platnumz]
kama watoto wakinililia (kama)
waambie kesho nitarejea (nitarejea mama)
wadanganye na vibagia (wadanganye)
waambie pipi ntawaletea (ntawaletea mama)
kama watoto wakinililia (kama)
waambie kesho nitarejea (nitarejea mama)
nawe usichoke kuvumilia (usichoke)
na kila siku kuniombea (nirude salama)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu billy marchiafava - 1982 love letter
- lirik lagu suarez nacapito - scrausi
- lirik lagu nueve lio - no traffic
- lirik lagu bryce menchaca - scared of losing you
- lirik lagu for the hackers - deluxe kids
- lirik lagu chloe moriondo - creep (radiohead cover)
- lirik lagu belim - palhaçada
- lirik lagu hendricentrix - anyone u like
- lirik lagu viagra boys - creepy crawlers
- lirik lagu martin garrix, dallask & sasha alex sloan - loop