lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu diamond platnumz - moyo

Loading...

[verse 1]
pole, pole, pole, pole
pole, pole moyo w~ngu
masikini pole
pole mtima w~ngu
haikuwa dhamira
haikuwa kusudi langu
haikuwa dhumuni waala
haikuwa malengo yangu
ila tuseme labda moyo
pengine sio ridhiki
maana nimejitahidi sana
malengo hayafiki
kama kuswali naswali sana
mpaka sunna za usiku
kazi nimetafuta saana
ila siambulii kitu
staki kukufuru mungu
sababu najua ni mapito
j~po, inakatisha tamaa
ila siku yangu ipoo

[chorus]
moyo (usiumiee)
moyo w~ngu (ni mapito)
ooh moyo (haya yote mitihani na yana mwisho)
moyo w~ngu moyo (usiumie)
moyo (ni mapito)
ooooh moyo (haya yote mitihani na yana mwisho)
[verse 2]
penzi maua
pesa mbolea
hata shemeji yako ana
mengi ila, hawezi ongea
moyo
najitahidi jiepusha vya watu
ni majaribu aah
j~po nna shida ila naepuka tamaa
moyo, nlitamani siku moja
na mimi nimjengee mama
ila ndo vile tu umasikini
mipango inakwama
hua naumia watoto shuleni
wakif~kuzwa ada
najiona mjinga
yani sio bora baba
staki kukufuru mungu
najua ni mapito
maana riziki mafungo
nami langu siku lipo

[chorus]
moyo (usiumiee)
moyo w~ngu (ni mapito)
ooh moyo (haya yote mitihani na yana mwisho)
moyo w~ngu moyo (usiumie)
moyo (ni mapito)
ooooh moyo (haya yote mitihani na yana mwisho)
[outro]
moyo
moyo


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...