lirik lagu diamond platnumz - kanyanga
[intro]
it’s platnumz
(woo, woiyo ooh woiyo ooh)
zombie
its s2kizzy beiby
[verse 1]
ati kanyaga ka ana pigo za unafiki
kanyaga kama mmbeya asiye rafiki
kanyaga kama fisi ana roho ya usnichi
hakulishi, hakuvishi kwani vipi?
kanyaga
wazee wa shobo kudandia, kanyaga
klabu kuomba omba bia, kanyaga
slay queens vibisho vya bandia
ukivipa hai ati madai vinavimbia
[pre chorus]
kanyaga!
uzushi, kanyaga!
mashemu feki, kanyaga!
nuksi, kanyaga!
kudadadeki, kanyaga!
mawifi, kanyaga!
mpaka ma ex, kanyaga!
mikosi, kanyaga!
woooya kanyaga!
[chorus]
kanyaga! kanyaga!
kanyaga! kanyaga!
kanyaga! kanyaga!
kanyaga! kanyaga!
yii, kanyaga! kanyaga!
kama unanicheza zangu
kanyaga! kanyaga!
wale wakuda wadaku
kanyaga! kanyaga!
yeah, kidaku daku
kanyaga! kanyaga!
wajue hizi namba chafu
[bridge]
woo, woiyo ooh woiyo ooh
woo, woiyo ooh woiyo ooh
ooh yeah eeh
[verse 2]
siku hizi watu wanataka money
so mitimu itakukosti, kanyaga!
kunitumia mipicha pigo gani?
ati basi day nikuposti (oh yeah yeah)
kadi za harusi kuchanga changa, kanyaga!
wakati mwenyewe nina majanga, kanyaga!
sina godoro sina kitanda
ati nikuchangie kodi kwenda kupanga (yii)
kama buti la mugambo, kanyaga!
wavuruga mipango, kanyaga!
wazee wa insta michambo
ati ‘baby niunge bando’
[pre chorus]
kanyaga!
uzushi, kanyaga!
mashemu feki, kanyaga!
nuksi, kanyaga!
kudadadeki, kanyaga!
mawifi, kanyaga!
mpaka ma ex, kanyaga!
mikosi, kanyaga!
woooya kanyaga!
[chorus]
kanyaga! kanyaga!
kanyaga! kanyaga!
kanyaga! kanyaga!
kanyaga! kanyaga!
yii, kanyaga! kanyaga!
kama unanicheza zangu
kanyaga! kanyaga!
wale wakuda wadaku
kanyaga! kanyaga!
yeah, kidaku daku
kanyaga! kanyaga!
wajue hizi namba chafu
[verse 3]
i say leeeooo
usiku hatulali, tunakesha kama popo
leo, leo
tena wape na habare
kama wao paka si~mbwa koko
leeeo
usiku hatulali, tunakesha kama popo
leo, leo
tena wape na habare
kama wao paka si~mbwa koko
[outro]
asa timba, timba timba (timbaaa)
wanangu timba (timbaaa)
wao kula kushoto (timbaaa)
kula kulia (timbaaa)
i say timba, timba timba (timbaaa)
oyaa wahuni timba (timbaaa)
kama un~z~kili (timbaaa)
mchaka kabisa akili (timbaaa)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu voyager (pol) - oszukany
- lirik lagu yaro yt - can't get over it
- lirik lagu zilamike - strictul necesar
- lirik lagu stef 5k - presto (micra musik)
- lirik lagu ultralight - this time it's time
- lirik lagu wirefall - spf
- lirik lagu delillos - leve enda mer
- lirik lagu love you to death - beacon, lighthouse, marco polo
- lirik lagu トレヴァー (trever) - ジャンケンポン (jankenpon)
- lirik lagu ruminus - грац (done)