lirik lagu diamond d - kizaizai
{verse 1}
yanaanza kama safari twende folani ukaone
k-mbe yana nguvu ni hatari ukishanasa ndio uponie..x2
mungu aliumba dunia na maajabu yaake
ya mwenzako sikia omba yasikupate, eeih ..x2
{chorous} x2
nyie mapenzi yanauma (kizaizai)
yanaumiza (kizaizai)
oooh kizunguzungu jamaa mapenzi mabaya
weza gombana na ndugu (kizaizai)
rafiki akawa mubaya (kizaizai)
kazi ukaona chungu (kizaizai)
nyie mapenzi karaha (kizaizai)
{verse 2}
yananyima furaha….
yanakosesha raha….x2
mmmmm
tena usiombe kupenda uliempenda ajuee
tena usiombe kupenda uliempenda ajue
amani utakosa karaha jamani eeeh..
dunia tena chungu kufa utatamani eeh..
mungu aliumba dunia na maajabu yake
ya mwenzako sikia omba yasikupate, eeih ..x2
{chorous}
nyie mapenzi yanauma (kizaizai)
yanaumiza (kizaizai)
oooh kizunguzungu jamaa mapenzi mabaya
weza gombana na ndugu (kizaizai)
rafiki akawa mubaya (kizaizai)
kazi ukaona chungu (kizaizai)
nyie mapenzi karaha (kizaiza
baba na mama watake
chakula tamu ni sumu
mashoga sasa wanafiki
kulala nanyi ni ngumu
eeh yanauma tena yanauma
{bridge}
so mk-mbatie akicheza ucheze nae
akiringa aeende…x2
mk-mbatie akikata ukate nae
akiringa aeende…x2
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu fatoni & edgar wasser - kunst
- lirik lagu toni gonzaga/sam milby - against all odds
- lirik lagu nycholl$ - eu uso neosoro
- lirik lagu овсянкин (ovsyankin) - блёклый (faded)
- lirik lagu shenna - me vs. you
- lirik lagu black bannerz - taht al ard - تحت الارض
- lirik lagu sarek - liljekonvaljernas vals
- lirik lagu jeites - vida breve (alto totó)
- lirik lagu tunisiano - on s'en fiche
- lirik lagu nerina pallot - spirit walks