lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu dhoom - scott montana

Loading...

dhoom lyrics scott montana
intro
dart….. bello beats…..yeah yeah

verse 1
kama shetani ana mbuyu wake
kama mbala mwezi lina mw~nga wake
yani navyo kuona
nikama naogopa
moyo unakataa
yani kama utaondoka

mmh je! kama nikikosa hela
utanipenda ama baby utaenda?
ukinicheka ni nani ataniuguza?

aahh  je! kama nikikosa hela
utanipenda ama baby utaenda?
ukinicheka ni nani ataniuguza?

bridge
najiuliza je! utaniacha?
kama kweli nitapenda tena?
kuna swali najiulizaa
ni nani ataniuguza?
najiuliza je! utaniacha?
kama kweli nitapenda tena?
kuna swali najiulizaa
ni nani ataniuguza?

chorus
dhoom mart jaho
mart jaho
dhoom mart jaho
mart jaho

dhoom mart jaho
mart jaho
dhoom mart jaho
mart jaho

verse 2
kila ninapowaza
baby gal me napata homa
jasho linanitokaa
moyo unatanda woga

kila ninapowaza
baby gal me napata homa
jasho linanitokaa
moyo unatanda woga
mmh je! kama nikikosa hela
utanipenda ama baby utaenda?
ukinicheka ni nani ataniuguza?

aahh je! kama nikikosa hela
utanipenda ama baby utaenda?
ukinichеka ni nani ataniuguza?

bridge
najiuliza je! utaniacha?
kama kweli nitapеnda tena?
kuna swali najiulizaa
ni nani ataniuguza?

najiuliza je! utaniacha?
kama kweli nitapenda tena?
kuna swali najiulizaa
ni nani ataniuguza?

chorus
dhoom mart jaho
mart jaho
dhoom mart jaho
mart jaho

dhoom mart jaho
mart jaho
dhoom mart jaho
mart jaho
dhoom mart jaho
mart jaho
dhoom mart jaho
mart jaho

dhoom mart jaho
mart jaho
dhoom mart jaho
mart jaho


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...