lirik lagu devotha severian - chuki
mwanzo wa safari tulipendana sana
tulikula meza moja kwa furaha
tuliishi nyumba moja kwa umoja
katikati ya safari hiii
chuki iliingia kati yetu
katikati ya safari hiii
chuki iliingia kati yetu
magomvi kila siku amani hakuna
hatusalimiani tena
magomvi kila siku amani hakuna
hatusalimiani tena
chukiii chukiii chuki ya nini kati yetu
chuki chuki chuki ya nini kati yetu chuki
ondoa chuki chuki ondoa chuki chuki
ondoa chuki chuki chuki moyoni
chuki husababisha mapigo ya moyo
ndugu k~mchukia nduguye
chuki husabisha magonjwa ya moyo
chuki husababisha maumivu ya moyo
chuki huleta utengano kwa familia
chuki chuki chuki ohoooo
mme anamchukia mkewe tena
anayemuunga kipenzi cha moyo
mke anamchukia mme wake tena anayemuita sweet baby
mama anamchukia mtoto wake
yule aliyembeba mimba miezi tisa
baba anamchukia mwanae
chuki chuki chuki ohoo
tunasali kanisa moja hatusaliani
chuki imejaa mioyoni mwetu
tunatembea njia moja hatusalimiani
chuki imejaa mioyoni mwetu
tunakula meza moja hatusalimiani
chuki imejaa mioyoni mwetu
chuki eee chukie ohooo
ndugu yako anapopatwa na shida
badala ya k~muombea unamcheka
rafiki yako anapokubwa na misongo ya dunia badala yak~muombea unamcheka
mshirika mwenzako anapoanguka ohoo
badala ya k~muombea unamtangaza
chuki ohoooo
ondoa chuki chuki
ondoa chuki chuki
ondoa chuki chuki moyoni
ondoa chuki chuki
ondoa chuki chuki
ondoa chuki chuki moyoni
baba yetu ni mmoja mmoja
sisi sote ni wamoja
tukemee chukii ohoo
ondoa chuki chuki
ondoa chuki chuki
ondoa chuki chuki moyoni
ondoa chuki chuki
ondoa chuki chuki
ondoa chuki chuki moyoni
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu number 1, i love you - kissalil' bit
- lirik lagu kata klown - j’vous baise !
- lirik lagu handsome failure - trve kvlt carwash
- lirik lagu halocene - warrior state of mind
- lirik lagu mani deïz - le chemin du retour
- lirik lagu lil bo weep - iris cover (2016)
- lirik lagu hunachi - подарок (present)
- lirik lagu wonk unit - jamie
- lirik lagu martha reeves & the vandellas - i hope you have better luck than i did
- lirik lagu gianni - dehors