lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu derrickey steeby - intellectual

Loading...

bado ni sisi
bado ni sisi kwa game tunashika hio throne
ndio maana na medi ka monk
na zetu ni pure zetu conk
hauwezi zipata kwa mapedi malocal
zetu hauwezi zicopy
zinaitaji masomooooo
west to east tuna conquer
hadi ma g hadi wanahepa test
na wapoa wanadish ka pest
wanadai niwashikie best, aaaaah
wanacheki mamili kwa shingo wanadai
kunidara kwa chest, eiiish
moves ni silent hata kushinda kaburi ya mkisii

tuko soko wakodolo
zangu kali ka za polo
mi sichochi ka j~poloo
mistari zao bado shallow
tulimshanda passed and followed

n~gga ni chef nipate jikoni
zetu ni kali tunapika likoni
kama ni noma kwani ikoni??
have been on pills my n~gga sioni yoh
bado na warn na bado narule
bado ni soft na bado ni rude
unashangaa mbona na misbehave.
izah joh nilikua backbencher
backbencher nina diss teacher

esto waliroam
mr nina ndom
mistake nilifom
wasee walikuom
walimpiga mob
ac alijam
wasee walichuom
nini aliduuu
wtf with you
n~gga ali flew

bado ni sisi
bado ni sisi kwa game tunashika hio throne
ndio maana na medi ka monk
na zetu ni pure zetu conk
hauwezi zipata kwa mapedi malocal
zetu hauwezi zicopy
zinaitaji masomooooo
west to east tuna conquer
hadi ma g hadi wanahepa test
na wapoa wanadish ka pest
wanadai niwashikie best, aaaaah
wanacheki mamili kwa shingo wanadai
kunidara kwa chest, eiiish
moves ni silent hata kushinda kaburi ya mkisii, shhhhaaa
moves silent underwater we dripping ice move ni legit
shawty she bad she a freak, i told her to slide it mi nika deep
back then me and my hommies we had no sh~t sai luku on fleek
my luku on fleek, kwa hii street mimi ndio g

style yangu kali hauwezi copy
4pf nimejaza manoti
mi ni mhumble lakini mnaughty
swag kali juu doh sikosi
ulidhani nakopa aah aah mi sikopi
ziki nice mi hu pull up na lorry
rende yangu kali rende ngori
ikikukuta hakuna cha sorry
so itabidii umesare
ukicheza na keys ni vibare
saa mna smoke trees imagine si tuna smoke the forest

sipping codeine high on lean huh codeine got me lazy
f~ck with my gz you gon bleed vichwa mbaya si ni crazy

bado ni sisi
bado ni sisi kwa game tunashika hio throne
ndio maana na medi ka monk
na zetu ni pure zetu conk
hauwezi zipata kwa mapedi malocal
zetu hauwezi zicopy
zinaitaji masomooooo
west to east tuna conquer
hadi ma g hadi wanahepa test
na wapoa wanadish ka pest
wanadai niwashikie best, aaaaah
wanacheki mamili kwa shingo wanadai
kunidara kwa chest, eiiish
moves ni silent hata kushinda kaburi ya mkisii, shhhhha


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...