lirik lagu dena mwana - roho yangu
[paroles de “roho yangu”]
sijuwe nitete ye je
kwani maneno ya mimenipita aah
nguvu na ukwabwa wa pendo lako
huwezi ku pimwa
hujuwa niya zangu uuh
baba hujuwa uga w~ngu ouuh
maneno yangu machache kukueleza
upendo w~ngu kwako
sikiliza roho yangu baba
moyo w~ngu hukuimbiya
sikiya nyembo ya upendo ooouh
wa mutoto uliye mkombowa aah
nita chukuwa maneno yangu mabovo
kutangaza ukubwa wako
kwa kweli siwezi
kusema chochote
baba sikiya roho yangu
aaaaaaaah
aaaaaaah ouh aaaah
sasa kama nvuwa
maneno yangu yangu tiririka aah
ninge kuwa na minugu mikononi mw~ngu
singeweza kusema
ila ndani ya roho yangu ooouh
baba hujuwa yote eiiii
aksante kwa maisha ukweli njiya
baba ubarikiwe
sikiliza roho yangu baba
moyo w~ngu hukuimbiya
sikiya nyembo ya upendo ooouh
wa mutoto uliye mkombowa aah
nita chukuwa maneno yangu mabovo
kutangaza ukubwa wako
kwa kweli siwezi
kusema chochote
baba sikiya roho yangu
sikiliza roho yangu baba
moyo w~ngu hukuimbiya
sikiya nyembo ya upendo ooouh
wa mutoto uliye mkombowa aah
nita chukuwa maneno yangu mabovo
kutangaza ukubwa wako
kwa kweli siwezi
kusema chochote
baba sikiya roho yangu
humm
kwa kweli siwezi
kusema chochote
baba sikiya roho yangu
baba baaaaaba
baaaaaba baaaaaaaaaaaaaaaa
baaaaaaaaa ah
baabababababa
kweli siwezi
kusema chochote eii
baba w~ngu
babaaa
kwa kweli siwezi
sema chochote
sikiya roho yangu
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu highest to lowest - highest to lowest: quadeca
- lirik lagu precious jewel amor - our final night
- lirik lagu nine percent - 离不开 (inseparable)
- lirik lagu must die! - hellburst
- lirik lagu neocortexfemo - get ayrı yerdə oyna
- lirik lagu the white lakes - this generation
- lirik lagu ケツメイシ (ketsumeishi) - はじまりの予感 (hajimari no yokan)
- lirik lagu coco melon - baby shark
- lirik lagu sumif - who are you
- lirik lagu lil king - come to me