lirik lagu deborah lukalu - tenda (live)
intro
come on, somebody shout for jesus!
verse
eh, hakuna, hakuna, hakuna mungu kama wewe baba
(hakuna, hakuna, hakuna mungu kama wewe baba)
hakuna mwingine kama wewe baba
(hakuna, hakuna, hakuna mungu kama wewe baba)
hakuna mwingine, kimbilio langu
(hakuna, hakuna, hakuna mungu kama wewe baba)
eh, hakuna mwingine, baba wa wajane
(hakuna, hakuna, hakuna mungu kama wewe baba) somebody dance for jesus
hey
hey, mungu ni chefu (chefu) wa mataifa yote (wa mataifa yote)
mungu ni chefu (chefu) wa mataifa (mataifa yote)
mungu ni chefu (chefu) wa mataifa yote (wa mataifa yote)
mungu ni chefu (chefu) wa mataifa (mataifa yote)
eh, mungu ni chefu (chefu) wa mataifa yote (wa mataifa yote)
mungu ni chefu (chefu) wa mataifa (mataifa yote) one, two, three
eh, mungu ni chefu (chefu) wa mataifa yote (wa mataifa yote)
mungu ni chefu (chefu) wa mataifa (mataifa yote)
mungu ni chefu (chefu) wa mataifa yote (wa mataifa yote)
mungu ni chefu (chefu) wa mataifa (mataifa yote)
eh, mungu ni chefu (chefu) wa mataifa yote (wa mataifa yote)
mungu ni chefu (chefu) wa mataifa (mataifa yote)
mungu ni chefu (chefu) wa mataifa yote (wa mataifa yote)
mungu ni chefu (chefu, mataifa yote) can you dance for the lord?
piga mikono
piga mikono, piga mikono
piga mikono, piga mikono
piga mikono, piga mikono
piga mikono, piga mikono
alitenda mambo makubwa, wanadamu hawakuelewa, we tenda
(tenda, tenda, tenda)
tenda, eh baba, tenda (eh, yo, yo)
tenda, eh baba, tenda (baba wa maajabu)
tenda, eh baba, tenda (eh, yo, yo)
tenda, eh baba, tenda (mungu wa uzima)
tenda, eh baba, tenda (mungu wa salama, yo, yo)
tenda, eh baba, tenda (baba wa wajane)
tenda, eh baba, tenda (eh, yo, yo)
tenda, eh baba, tenda
alitenda mambo makubwa, shetani ashikwe leo, we tenda
(tenda, tenda, tenda)
ni wa uwezo, ni wa ushindi
ni mweza yote kweli, hallelujah ni muumba we, ah
kuimba tunaimba (ni mpaka kwa neema)
watoto tunasala (ni mpaka kwa neema)
ndoa tunapata (ni mpaka kwa neema)
masomo tunaweza (ni mpaka kwa neema)
diploma uko nayo (ni mpaka kwa neema)
watoto unasala (ni mpaka kwa neema)
kuimba unaimba (ni mpaka kwa neema)
huyu mungu wetu
anajibwaga (anajibwaga)
ni mweza yote (ni mweza yote)
le, le, le (hallelujah ni muumba wetu)
anasemaga (anasemaga)
anajibwaga (anajibwaga)
ni mweza yote (ni mweza yote kweli, hallelujah ni muumba wetu)

wa milele, wa milele, mungu wa baraka ni yesu, eh
(wa milele, wa milele, mungu wa baraka ni yesu, eh)
wa milele, wa milele, mungu wa baraka ni yesu, eh
(wa milele, wa milele, mungu wa baraka ni yesu, eh)
wa miujiza, wa miujiza, mungu wa miujiza ni yesu, eh
(wa milele, wa milele, mungu wa baraka ni yesu, eh)
wa mapendo, wa mapendo, mungu wa mapendoni yesu, eh
(wa milele, wa milele, mungu wa baraka ni yesu, eh)
(ah, ni yesu, eh)
ah, yo, yo, yo (ah, yo, yo, yo, ni yesu, eh)
yelele, yelelele (ah, ni yesu, eh)
yelele, yelelele (ah, yo, yo, yo, ni yesu, eh)
(ah, ni yesu, eh)
(ah, yo, yo, yo, ni yesu, eh)
yelele, yelelele (ah, ni yesu, eh)
(ah, ni yesu, eh)
ah, yo, yo, yo (ah, yo, yo, yo, ni yesu, eh)
yelele, yelelele (ah, ni yesu, eh)
ah, yo, yo, yo (ah, yo, yo, yo, ni yesu, eh)
yelele, yelelele (ah, ni yesu, eh)
yetele (ah, yo, yo, yo, ni yesu, eh)
can you dance for jesus?
yelele, yelelele
yelele
yelele, yelelele, lele
yelele, yelelele
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu nunesx & senses label - big bumbum
- lirik lagu dj soulscape - confusion
- lirik lagu yamê (fra) - moto
- lirik lagu lyran dasz - weltall (snippet)
- lirik lagu lil rez - read my rights
- lirik lagu heiachi & mnrakakenny - saddam hussein hiding place
- lirik lagu nigel davenport - christopher marlowe - the passionate shepherd to his love
- lirik lagu tjra - the fall
- lirik lagu yba huncho - "12 & dangerous"
- lirik lagu jojosiwaa - that's a wrap