lirik lagu daz baba - raia
[intro]
yeah
peace, love and harmony, huh
dar~es~salaama
daz nundaz
(raia)
daz baba
(mo ? )
yeah, yeah
[chorus]
itanibidi kufanya vyovyote vile ninavyojua
ila mbele ya dola siwazi kuvunja sheria
ili kuepuka maisha ya patapotea
nitatumia kipaji kama raia
nitafanya vyovyote vile ninavyojua
ila mbele ya dola siwazi kuvunja sheria
ili kuepuka maisha ya patapotea
nitatumia kipaji kama raia
[verse 1: daz baba]
moyo w~ngu una madonda
wadau njooni mnione
mje na ridhiki yangu kama dawa ili nipone
matatizo na mimi, kwanini na matatizo?
kutwa hekaheka sina hata cha likizo, na~
nuksi, mikosi (?) mfululizo
na wenye chuki na mimi w~n~leta hizi na hizo
mithili ya maigizo tena yenye vitimbi
bongo maji ya shingo ‘yale yenye mawimbi
asa unaona wanatufanya sisi mapimbi
anakupa kesi kisha anakudai masimbi, na~
kama hauna sas’ washa koroboi
anavyo taka rushwa kama vile anakudai
moyoni mw~ngu mi nakosa kabisa upendo
nikitazama kila kona ni magendo, magendo…
[chorus]
itanibidi kufanya vyovyote vile ninavyojua
ila mbele ya dola siwazi kuvunja sheria
ili kuepuka maisha ya patapotea
nitatumia kipaji kama raia
nitafanya vyovyote vile ninavyojua
ila mbele ya dola siwazi kuvunja sheria
ili kuepuka maisha ya patapotea
nitatumia kipaji kama raia
[bridge]
raia
mtanzania
sikia, kipaji kinateketea
raia, (daz nundaz, daz baba)
mtanzania, (m? na~ yeah, yeah, yeah)
sikia, watu tunateketea
[verse 2: critic]
nataabika nimechoka kichizi ‘ile kichizi
mgaagaa na upwa ‘riziki yangu iliyo tupwa
na haa haa na ganga ganga njaa
ili mradi
nijipatie mafanikio yenye maendeleo
lije kufaidika taifa langu la kesho, na la leo
nifanye music biashara, isiwe~
aaaah
…
nisiwe kama bendera ifuatayo upepo
nifanye music biashara iniletee hayo malipo
yeah
yeah
uh, yeah…
[chorus]
itanibidi kufanya vyovyote vile ninavyojua
ila mbele ya dola siwazi kuvunja sheria
ili kuepuka maisha ya patapotea
nitatumia kipaji kama raia
nitafanya vyovyote vile ninavyojua
ila mbele ya dola siwazi kuvunja sheria
ili kuepuka maisha ya patapotea
nitatumia kipaji kama raia
[verse 3: daz baba]
ona, ona
vijana wahangaikaji ndio wanakamatwa wazururaji, na~
wenye vipaji hawana tena uthamani
zaidi ya kukamatwa na kuwekwa hatiani
kifo ‘tembea nacho ubavuni
magonjwa, dhiki na njaa vimetukalia kooni
nalalama yanayo nipasa kusema
kukosa ajira kama raia itaniuma…
aaaah
aaaah
aaaah
aaaah
aaaah
aaaah
aaaah
aaaah
[chorus]
itanibidi kufanya vyovyote vile ninavyojua
ila mbele ya dola siwazi kuvunja sheria
ili kuepuka maisha ya patapotea
nitatumia kipaji kama raia
nitafanya vyovyote vile ninavyojua
ila mbele ya dola siwazi kuvunja sheria
ili kuepuka maisha ya patapotea
nitatumia kipaji kama raia
(instrumentals)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu amy jack - red bird little red bird
- lirik lagu blckk - blue
- lirik lagu plebeian grandstand - tributes and oblivions
- lirik lagu blankass - enfants / дети
- lirik lagu mnogoznaal - связь (connection)
- lirik lagu josetta - 333
- lirik lagu winterful - na oblozhku
- lirik lagu macan band - nardebon
- lirik lagu daemon - the trial
- lirik lagu владиджи (vladidzhi) - level up