lirik lagu davy kamanzi / dvk - nimesota
[intro: dvk]
wueh!
dvk
yo, this one’s for all the broke n~ggas, man
sherehe imeisha, m~pesa iko zero, heh
it’s back to work, monday
yo (black hole)
[chorus: dvk]
buda nimesota, mbona sijaomoka?
struggle huku congo, nipe mic niwe sonko, ayy
mbona sijaomoka?
struggle huku congo, nipe mic niwe~ uh
[verse 1: dvk]
leo narauka mapema (ayy), i’m tryna get me some paper (paper)
nimetoka nairobi (what?), hustlin’ is in my nature (ehen)
n~gga, f~ck all of the haters (f~ck them), buda, leo nitapenya (nitapenya)
nataka mif~ko bigi, kama s~m~nya (caster, caster)
fika mboka na matatu (ayy), mi niko kazi (mi niko kazi)
piga toja na kabuti lakini unauza mandazi (unauza mandazi?)
masaa za lunch zikifika ni ugali mix na soda kibandaski (ah!)
kama ndukulu ndio form (ayy), buda chunga warazi (buda chunga warazi, ayy)
sonford (ayy), fritaz (ayy), buda kam tumange njiva (ehen)
na chumvi sidishi bila (ayy)
wacha story za lonyang’apuo, usi~kif up, utafika (usi~kif up, utafika)
hustle (еhen), usi~kif up, utafika
[chorus: dvk and andybolo]
buda nimesota (buda), mbona sijaomoka? (mbona?)
struggle huku congo (ayy), nipе mic niwe sonko, ayy
mbona sijaomoka? (why?)
struggle huku congo (ayy), nipe mic niwe sonko (ras!)
[verse 2: andybolo]
machungu ni mingi (mingi), kama hauna shilingi (kusota)
seti kisensi na bingi, maras ni wengi, amini (amini)
ni jeshi balaa, angalau wadau, though sinanga ubaya
msee mpole kusema ukweli, mezeshea, ni fire (ai! ai! ai!)
hakuna simba mnyonge (zi), nipatie beat niroge (rah!)
mi ni mkamba mkonde mix mlami, ndio hiyo story tubonge (wah! wah! wah!)
mi sijichochi (zi), nasaka tu ganji daily, sipotezi wakati
na si bahati, madem wenu wote wananidai juu ya manati, ah!
[chorus: dvk and andybolo]
buda nimesota (buda), mbona sijaomoka? (mbona?)
struggle huku congo (ayy), nipe mic niwe sonko, ayy
mbona sijaomoka? (why?)
struggle huku congo (ayy), nipe mic niwe sonko
[verse 3: bh]
ona ganji zimekam, ona bhanje zime~land
morio anzenza ako rada, g~bag na mawaba
siku za kwanza nilikubali sitawahi kuwa mtiaji (never!)
juu huwezi mix mafuta na maji, ata ikuwe we ni nani (never!)
mi huzipeleka bank, mkizipeleka bar (kwa bar)
juu mi na~like chapaa, kusleki, huwezi nipata
nikiboeka najikata, juu dem ako home anadai pasapasa
mi humkuta kila ukuta ya keja, halafu namaliza (juu ya meza!)
[chorus: dvk and andybolo]
buda nimesota (buda), mbona sijaomoka? (mbona?)
struggle huku congo (ayy), nipe mic niwe sonko, ayy
mbona sijaomoka? (why?)
struggle huku congo (ayy), nipe mic niwe sonko (nipe mic niwe sonko)
[outro]
(black hole)
(phone ringing)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu young flux - vertigo
- lirik lagu april aberdeen - rest sweetly in the twilight
- lirik lagu bj1 blackbuss - never really stops
- lirik lagu kiki alzio - wes gedhe
- lirik lagu hamilton - obvious
- lirik lagu danish (musical pastry) - me, myself and i
- lirik lagu neurotox - nur einen herzschlag
- lirik lagu gorillaz - busted and blue (faia younan special) arabic
- lirik lagu itz julius, swizzy max - worth it
- lirik lagu prateek kuhad - kho gaye hum kahan