lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu daroon - yah ramadhan

Loading...

yaah yaah
aaah aaah aah

(chorus)
ramadhani ramadhani
ramadhani ramadhani
ramadhani oooh daroon

ramadhani imeingia kwa hamu tuliusubilia
mola umetujalia afya njema umetupatia

twakushukuru kwa heshima zote
tw~tamani mwezi usiondoke
ubaki nasi siku zote, siku zote

(pre~chorus)
twaambia tutoe swadaka
na tena tutoe zaka
na tusali, tusali, tusali

oooh…

tusome sana qur’an
tuhutubie kutoka moyoni
amari, amari, tupate amari
(chorus)
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye furaha
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye msamaha

yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye furaha
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye msamaha

(verse 2)
tuzidi omba sana
usiku mchana
maaswi kuyatupa
uwe baba au uwe mama
mungu ni wa k~muogopa

na tuzidi kushikana kwa pamoja
mtume tumsalie
kiongozi bora sana
kwetu dhamana
yapaswa k~msalia

(pre~chorus)
twaambia tutoe swadaka
na tena tutoe zaka
na tusali, tusali, tusali
oooh…

tusome sana qur’an
tuhutubie kutoka moyoni
amari, amari, tupatе amari

(chorus)
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye furaha
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwеzi wenye msamaha

yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye furaha
yaah ramadhani, yaah ramadhani
mwezi wenye msamaha

daroon
totoz nation


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...