lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu darassa - relax

Loading...

(abbah)

wazee msilale mchaka mchaka
kimbiza dunia haina mipaka
ukiweka nia kuna njia utapata
kama unasubiria hakuna matata

mama hajalea maproso, no
kazaa soldier commando
na siku hizi heshima sio shikamoo, ooh
time money, i gotta go

sometimes, vitu zinakaza unakomaa
we utalala, hauwezi ukailaza masaa
unaleta utani?
okey(okey)

oh nah nah nah nah
jifanye kichaa, zua mabalaa
zagaa zagaa, simama kaa
bang! unaenda wapi? give it up eey

umepanick? relax
pumzika kwenye kiti
ikibidi pata drinks, relax
umepanick eeeh? relax
this is not what you think
shughuli bado mbichi
relax

unalewa fasta
mi ndio kwanza napata starter
mezani kwasa kwasa
suk~ma kanyaga twende
rudi ata kwa puncture

mdomo haulipiwi ukasema lolote
uongo hauna guarantee ya kufika popote
kitenisi hakidundi kwenye matope
usivae kinyago, vaa swagga unaweza niogope

sinaga habari za kijinga
akili mali ukichimba
sitafuti zari la kuvimba
nachonga nachimba

umetaka mwеnyewe
usipige kеlele unapokuwa unawinda
kaa mbele unanijua tinga tinga
nishapigana vita nyingi nimeshinda
umepanick? relax
pumzika kwenye kiti
ikibidi pata drinks, relax

umepanick eeeh? relax
this is not what you think
shughuli bado mbichi
relax


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...