lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu darassa - mind your business

Loading...

nothing is free

jiji halijakaa kaa kimapenzi mr t

nilipotea sinza mitaa ya ndani ndani

nikaomba wasamaria wema nipate ramani

aunt aunt samahani

kwani we una bei gani

aaah mi mgeni nilikuwa nauliza hii njia inaenda kanisani

si ndo nakutana na shabani namjua

namsalimia shebby ameuchubua

shebby anasuasua

au i’m not sure

k~mbe huku anakwenda kama pastor joshua

ukiangalia bodi ya gari ngangari
k~mbe jitu kubwa jumba kilakshari

unaambiwa hakuna kuparty mpaka ugonge mchumari

hakuna habari kama watu wanaponda mali

mind your business mi sina noma na we

mind your business as long as you don’t get in my way

mind your business mi sina noma na we

mind your business as long as you don’t get in my way

eyes on prize

eyes on prize

ladies and gentlemen sasa tuko wazi

eyes on prize

eyes on prize

tajiri kapagawa bei tumemwaga radhi
kujiongelesha upuuzi

mashauzi makuzi makuzi

kelele nyingi fujo miluzi

mbona that is not big news

kesho zipo dalili zinakuja kimbunga

fungia watoto ndani kwa nyumba

wanasayansi maji yamezidi unga

kula kula tu ujinga utakunya pumba

you wanna avoid problems

its very simple mind your business

and what you want trouble you people

mind your business

mind your business mi sina noma na we
mind your business as long as you don’t get in my way

mind your business mi sina noma na we

mind your business as long as you don’t get in my way

eyes on prize

eyes on prize

ladies and gentlemen sasa tuko wazi

eyes on prize

eyes on prize

tajiri kapagawa bei tumemwaga radhi

mind your business mi sina noma na we

mind your business as long as you don’t get in my way

mind your business mi sina noma na we

mind your business as long as you don’t get in my way


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...