lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu darassa - juju

Loading...

sio mapenzi ni juju
haya sio mapenzi ni juju(juju)

angekuwa wimbo dj angeurudia
kila mmoja angecheza
utamani kuimba na kuitikia
kama kinywaji unaongeza

rangi yake mavazi na shepu
katikati ya mfupi na mrefu
mi nadhania mungu aliangalia
akaumba mwanamke apendezeshe dunia

ukisikia, sauti ya kukaa kichwani
unavutia, malaika wa kupaa angani
amazing, mwanamke wa k~mweka ndani
mwanamke wa kuspend money

ale ale ale ale
angekuwa wimbo dj angeurudia
ale ale ale ale
na kila mmoja angecheza
ale ale ale ale
mr dj angeurudia
ale ale ale ale
ale alе ale ale
angekuwa wimbo dj angеurudia
ale ale ale ale
na kila mmoja angecheza
ale ale ale ale
mr dj angeurudia
ale ale ale ale

pita pita kwenye mitaa yao
pita pita kwenye mitandao
pozi picha na mambo kibao
maisha yao tunasema nao

mwanamke anafanya unachange
hakuna binga wa kwenye mapenzi
kuna wakati najibia
asione kama namw~ngalia

ni kama kajumba anavutia
anapita kwenye njia(she a danger girl)
mada nimezamia
mi mwenyewe baharia

ale ale ale ale
angekuwa wimbo dj angeurudia
ale ale ale ale
na kila mmoja angecheza
ale ale ale ale
mr dj angeurudia
ale ale ale ale
ale ale ale ale
angekuwa wimbo dj angeurudia
ale ale ale ale
na kila mmoja angecheza
ale ale ale ale
mr dj angeurudia
ale ale ale ale

oya eeh yeah eh yeah eh…

eeh hanimudu nakunywa sumu
umenirudisha shule vidudu
umenifunga mdomo ni bubu
nasema sio mapenzi ni juju, juju bang!

haya sio mapenzi ni juju
sio mapenzi ni juju
haya sio mapenzi ni juju


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...