lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu darassa - boss it

Loading...

hujiliza kinyau nyau, fii
nikupe mfupa unatamani, fisi
na mademu wa kufunga kijiji
mtu akiniita kimatharau siji

voom honda k~mbe sio honda
kapanda bike ya miti kimeu
kujifanya ninja k~mbe sio ninja
ujanja wa kuiga kwenye video

wale madem waloleta utajibu
sisomi message zao sijibu
walojifanya moto leo majivu
bado wenye chuki wanakuja na wivu

boss it kwani shilingi ngapi
give me this give me dat
boss it you wanna know what happened?
if i say no, no discussion

boss it, boss it
boss it, boss it
boss it, boss it

tulianza na mautani (boss it)
na tumetokea gizani (boss it)
eeh kama utani (boss it )
now we getting money now we shining
keep calm, keep calm
drinks bills on me
keep calm, keep calm
na break it down

watu wanakwenda wanakwenda
pass pass
ronaldo na mpira chenga kati
unashangaa hedi imekuwa stranger bas
don’t play boy this is dangerous

soko ya asubuhi niko juu ya anga
nabishana na wachawi watoka kuw~nga
alafu nipigie uletee ushamba
nakufunga wewе na aliyekupa namba

boss it kwani shilingi ngapi
give me this givе me dat
boss it you wanna know what happened?
if i say no, no discussion

boss it, boss it
boss it, boss it
boss it, boss it

tulianza na mautani (boss it)
na tumetokea gizani (boss it)
eeh kama utani (boss it)
now we getting money now we shining
tulianza na mautani
na tumetokea gizani
eeh kama utani
now we getting money now we shining

pause atttitude la kiboss
take a pic post

tulianza na mautani
na tumetokea gizani
eeh kama utani
now we getting money now we shining


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...