lirik lagu darassa, jux - juju
haha sio mapenzi ni juju
sio mapenzi ni juju
haya sio mapenzi ni juju(juju)
angekuwa wimbo dj angeurudia
kila mmoja angecheza
utamani kuimba na kuitikia
kama kinywaji unaongeza
rangi yake mavazi na shepu
katikati ya mfupi na mrefu
mi nadhania mungu aliangalia akaumba mwanamke apendezeshe dunia
ukisikia,sauti ya kukaa kichwani
unavutia, malaika wa kupaa angani amazing,
mwanamke wa k~mweka ndani mwanamke wa kuspend money ale ale ale ale
angekuwa wimbo dj angeurudia ale ale ale ale na kila mmoja angecheza
ale ale ale ale mr dj angeurudia ale ale ale ale ale ale ale ale
angekuwa wimbo dj angeurudia ale ale ale ale na kila mmoja angecheza
ale ale ale ale mr dj angeurudia ale ale ale ale
pita pita kwenye mitaa yao
pita pita kwenye mitandao pozi picha na mambo kibao
maisha yao tunasema nao
mwanamke anafanya unachange hakuna binga wa kwenye mapenzi
kuna wakati najibia asione kama namw~ngalia
ni kama kajumba anavutia
anapita kwenye njia(she a danger girl)
mada nimezamia mi mwenyewe baharia ale ale ale ale
angekuwa wimbo dj angeurudia ale ale ale ale na kila mmoja angecheza
ale ale ale ale mr dj angeurudia ale ale ale ale ale ale ale ale
angekuwa wimbo dj angeurudia ale ale ale ale na kila mmoja angecheza
ale ale ale ale mr dj angeurudia ale
ale ale ale oya eeh yeah eh yeah eh…
eeh hanimudu nakunywa sumu umenirudisha shule vidudu
umenifunga mdomo ni bubu nasema sio mapenzi ni juju, juju bang!
haya sio mapenzi ni juju sio mapenzi ni juju
haya sio mapenzi ni juju (juju)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu g. twilight - if you’s a gangsta
- lirik lagu yandie gotam - e+vdelvdelvdelv
- lirik lagu prince buster - take it easy
- lirik lagu retracide (usa) - two year lease
- lirik lagu bak jay, 1900rugrat & fbg murda - 3am in the yams
- lirik lagu the primitives (1960s) - help me
- lirik lagu robin sharma - little kitchen mamaroneck
- lirik lagu 青木孝允 (aoki takamasa) & tujiko noriko - fly-variation
- lirik lagu gashneck - bloodshed // i won't apologize
- lirik lagu щёлочь (scheloch) - я буду бухать (i'll drink)