lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu dan em - hakuna wa kufanana

Loading...

haaaaalellujah
haaaaalellujah
hakuna wa kufanana naye
hakuna wa kufanana yesu ee
hakuna wa kufanana naye
hakuna wa kulinganishwa nawe
hakuna wa kufanana nawe
hakuna mwingine kama ewe baba
hakuna wa kufanana nawe
hakuna dunia yote baba
hakuna wa kufanana nawe

hallelujah, jehovah
hallelujah
hallelujah
hakuna wa kufanana naye

uinuliwe baba
uinuliwe
uinuliwe
hakuna wa kufanana nawe

alinifia msalabani
hakuna wa kufanana naye
akazibeba dhambi zangu zote
hakuna wa kufanana naye
akachukua masikitiko yangu
hakuna wa kufanana naye
magonjwa yangu yote akajitwika
hakuna wa kufanana naye

pokea sifa
pokea sifa
pokea sifa
hakuna wa kufanana nawe

uinuliwe baba wee
uinuliwe
uinuliwe
hakuna wa kufanana nawe

hakuna wa kufanana na bwana
hakuna wa kufanana naye
hakuna wa kufanana na nissi
hakuna wa kufanana naye
ukiinua unainua kabisa
hakuna wa kufanana nawe
juu mbinguni hakuna kama wewe
hakuna wa kufanana nawe

pokea sifa
pokea sifa
pokea sifa
hakuna wa kufanana nawe

pokea sifa
pokea sifa
pokea sifa
hakuna wa kufanana nawe

milele hakuna kama wewe
hakuna wa kufanana nawe
juu mbinguni hakuna kama wewe
hakuna wa kufanana nawe
maishani mw-ngu, hakuna kama wewe
hakuna wa kufanana nawe

oh

hakuna kama wewe
hakuna wa kufanana nawe

wewe watosha
wewe watosha
wewe watosha
hakuna wa kufanana nawe

baba, upewe sifa
upewe sifa
upewe sifa
hakuna wa kufanana nawe

oooh
upewe sifa
hakuna wa kufana nawe
upewe sifa
hakuna wa kufanana nawe
oooh, ooh
hakuna hakuna
hakuna wa kufanana nawe
hakunaaa
hakuna wa kufanana nawe

milele hakuna kama wewe
hakuna wa kufanana nawe
juu mbinguni hakuna kama wewe
hakuna wa kufanana nawe
hakuna kama wewe
hakuna wa kufanana nawe
mwamba wa maisha yangu
hakuna wa kufanana nawe


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...