lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu daddy cham - vimba

Loading...

[intro: magaflow]
vimba!!
vimba!!
vimba!!
vimba!!
vimba!!

[verse 1 : daddy cham & magaflow]
mpigie simu yule mwamba mwambie huku k~meshabamba”watu tunavimbaa!!”(daddy)
wakubwa tumeshatia nanga madogo wanaachia nanga(maga)
watu tunavimba kama puto(daddy)
pesa mingi mingi kwa mif~ko(maga)
navimba na kimwali mchepuko(daddy)
sikupingi we ndo zee la milupo(maga)

napenda vile uno unavyolirotate(daddy)
napenda vile ambaavyo unaconcerntrate(maga)
ukiwa unadance mpaka unasweat
you make it wet(daddy)

[chorus: maga]
vimba!!
oya wanangu ~ vimba!
masista du ~ vimba!
mabrother men ~ vimba!
mpaka wahuni ~ vimba!
ata kama umefika kwa guta vimba!
huku kimewaka kimenuka vimba!
ata kama pamba hujanyuka vimba!
ni mwendo wa kubounce na kuruka vimba!

[verse: 2 daddy cham & magaflow]
muhamara umesoma acha nivimbe ukiweza ujiachie na mimi(daddy)
huku kimenuka acha tuwake shida kibao tusifurahi kwanini(maga)
achana na madela au vitenge leo nataka utupie kimini(daddy)
ela iwe ya kubet au kupewa kama ni yangu we inakuhusu nini?(maga)

nataka nione uno linavyorotate(daddy)
napenda vile ambaavyo unaconcerntrate(maga)
ukiwa unadance mpaka unasweat
you make it wet(daddy)

[chorus: maga]
vimba!!
oya wanangu ~ vimba!
masista du ~ vimba!
mabrother men ~ vimba!
mpaka wahuni ~ vimba!

ata kama umefika kwa guta vimba!
huku kimewaka kimenuka vimba!
ata kama pamba hujanyuka vimba!
ni mwendo wa kubounce na kuruka vimba!


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...