lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu daddy cham - disconnect

Loading...

yeah! yeah!

that′s too fake

disconnect,
hamko real mna act
chukua zako nchukue zangu mbona fresh
hizo pigo me siwezi hesitate

disconnect (wanamachawa)
disconnect (waroho~mbaya)
disconnect (wambea liers)
dissconect (ch0m~a waya)
disconnect (wanamachawa)
disconnect (waroho~mbaya)
disconnect (wambea liers)
dissconect (ch0m~a waya)

why you lie
why you fake
mnaona shy kutuface,
siwahitaji in my life take a break,
now you sorry ila kwasasa it’s too late.
no mikonjo hii ni straight,
press delete weka x,
haunijui husini~text
niki~post usi~comment
acha shobo usi~exipect
mimi nawe kuwa friends
kunik~mbusha ulikuwa mwana sasa
sina more interest,

oooh my god!
jesus christ!
maajabu moto umegeuka ice (ice, ice),
mpaka demu w~ngu nyuma anani~bite (bite, bite),
trust no body kuwa smart cheza nice (nice, nice).

that′s too fake
disconnect,
hamko real mna act
chukua zako nchukue zangu mbona fresh
hizo pigo me siwezi hesitate

disconnect (waroho~mbaya)
disconnect (wambea liers)
dissconect (ch0m~a waya)
disconnect (wanamachawa)
disconnect (waroho~mbaya)
disconnect (wambea liers)
dissconect (ch0m~a waya)

nkajua wana kuzikana k~mbe enemies,
man wana~w~nga usiku mchana ili nirest in peace,
wakiomba nisi~gain ni lose energy
wakasahau dear god ndio everything,

wachawi nyomi kila pande, we kila angle
anaejifanya anakupenda ana~pretendo
sitataki shobo na machawa nyinyi vibwengo
mtachana tako k~muiga kunya kwa tembo

disconnect zima data (tatataaaah)
wanapuliza na kung’ata (tatataaaah)
chui anajifanya paka (kakakaaah)
and this goes to mother~fu~ckers disconnect

that’s too fake
disconnect,
hamko real mna act
chukua zako nchukue zangu mbona fresh
hizo pigo me siwezi hesitate

disconnect (waroho~mbaya)
disconnect (wambea liers)
dissconect (ch0m~a waya)
disconnect (wanamachawa)
disconnect (waroho~mbaya)
disconnect (wambea liers)
dissconect (ch0m~a waya)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...