
lirik lagu d voice - tunapendana
[intro : d voice]
mmh, nawaza mbali sana
my feelings, my feelings
[verse 1 : d voice]
eti baby kweli, usiponiona pumzi inabananana
eti baby kweli, unaumisi utamu banananana
eti baby kweli, sa kandohivyo kwanini twagombananana
au ndio ukweli, tamu na chungu ndo raha ya kupendana nana
hawajui oh
baby raha unazonipa
wapi unanishika
nandio maana mwengine sitaki
hawajui, nanivyopenda sifa ah
basi hapa bichwa
mana najuwa unanipenda na hauniachi
[pre~chorus : d voice]
ninachotaka niwaambie unanipenda, darli
hautaki kuwa nami mbalii
bila mimi hauwezi
basi niambie ni waambie wajue
kaunanipenda, darli
usiku bila mi haulali
miye ndo wako mpenzi
basi niambie niwaambie wajue
[refrain : d voice]
tunapendana, tunapendana
tunapendana, tunapendana
tunapendana, tunapendana
tunapendana, tunapendana
mimi enhh
ni mimi hapa
ni mbosso kahn tenaa
[verse 2 : mbosso]
penzi ni hadithi za sikununu
iwe kwenye furaha, nyakati ngumu
penzi ni maradhi, nishikwe pumu
nilokupenda we ashki majununu
usinifiche hadharani, babe nichumu
mengine tuyafanye tukiwa room
haki ya mungu, wallah ukinidhurumu (bomboclaat)
nanyonga ndumu
oohu wewe, sitaki nikukwaze usinikwaze
tukawapa maneno watutangaze
wengine wanangoja si kugombana
oohu wewe, penzi kwenye kibaba lijaze jaze
mambo yakinikaba, uniliwaze
leo tulemlenda kesho nyama
[pre chorus : mbosso]
basi niambie ni waambie
kaunanipenda, darli
usiku bila mi haulali
bila mimi hauwezi
basi niambie ni waambie wajue
kaunanipenda, darli
usiku bila mi haulali
miye ndo wako mpenzi
basi niambie niwaambie wajue
[refrain]
tunapendana, tunapendana
tunapendana, tunapendana
tunapendana, tunapendana
tunapendana, tunapendana
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu leo roi - j'men fous
- lirik lagu lottie's - what have we got
- lirik lagu героем аниме (anime hero) - суицид панк (suicide punk)
- lirik lagu the figgs - i need a reason
- lirik lagu shane terry - drop the chain
- lirik lagu getaway stranger - nightcall
- lirik lagu okis & mani deïz - on rôde, on ride
- lirik lagu s!mply - rolly
- lirik lagu dracofeuu - yeah
- lirik lagu nergard - let it come