lirik lagu d voice - mtamu
aah! mwenzako mbona kufanya kama wao nawezaga
ila tatizo naona aibu
style zote paka za kuvunja chaga
n~z~weza ila paka niwe na vaibu
basi ngoja kwanza ninywe kidogo
nikilewa ndo nakuwa mtamu
oya ngoja ninywe kidogo
nikilewa ndo nakuwa mtamu
mwenzako hivihivi nakuwa sinogi
nipe j~po hata kidogo nichangamshe body
mwenzako hivihivi nakuwa sinogi
nipe j~po hata kidogo nichangamshe body
haya!
ndo maana unaona kama mi nakuzingua
tatizo sij~pata dawa dawa
ngoja nipate hata moja bia
ntakupa vitu yaani paka utapagawa
afu kama unabisha nipe kidogo nionje
mi stimu yangu shisha, ganja na pombe
mwili ukipata stata kwenye bedi usiombe
haunipati kwa mkongo ata ukinywa vidonge
basi ngoja kwanza ninywe kidogo
nikilewa ndo nakuwa mtamu
oya ngoja ninywe kidogo
nikilewa ndo nakuwa mtamu
mwenzako hivihivi nakuwa sinogi
nipe j~po hata kidogo nichangamshe body
mwenzako hivihivi nakuwa sinogi
nipe j~po hata kidogo nichangamshe body (wewe!)
haya dada tikisa kario kario kario kario kariakoo
wasio kuwa na wenye ngongingo warushe roho
wee dada tikisa kario kario kario kario kariakoo
wasio kuwa na wenye wowowo warushe roho
haya sasa nitikisie maboga
nitikisie mamboga mboga
nitikisie maboga
nitikisie mamboga mboga
hamisi chacha kaona paja kadata
sa shobo za nini wakati nimekuacha
hamisi chacha kaona paja kadata
sa shobo za nini wakati nimekuacha
staki mishobo na wewe mi mwenzako
stakiii mishobo na wewe mimi akuu
staki mishobo na wewe
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu 124sport - de poder a poder
- lirik lagu christxian - ihateu
- lirik lagu edevaldo - i want to kiss that girl
- lirik lagu первокурсник (pervokursnik) - кто я такой? (who am i?)
- lirik lagu indigo (indie) - off my feet
- lirik lagu raw - intoxicated
- lirik lagu eartha kitt - señor
- lirik lagu musubi_officialmusic - intro папа
- lirik lagu katy perry - woman’s world (doing the most woman version)
- lirik lagu doberman infinity - departure