lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu d voice - gharama

Loading...

[verse 1]
unataka kunila na haunilishi
nikupe pole utanila kwa macho
unataka nikugande na haunifikishi
kileleni utanila kwa macho
gharama starehe gharama
ukitaka vizuri gharamia
kama hauna tafuta kazi ya kufanya
usipende pende vya bure utaumia

[chorus]
kwahiyo kaka, demu usiomuhudumia muone kama dada ako
ah! kama umpi chochote huyo shoga ako
ndugu yangu, demu usiomuhudumia muone kama dada ako huyo
aya ya!
ah! kama umpi chochote huyo shoga ako
watu mjini wametumwa hela (mjini wametumwa hela)
vya bure bure utapata jela (vya bure bure utapata jela)
watu mjini wametumwa hela
vya bure bure utapata jela aaaah

[verse 2]
ah! na hiyo nauli aliyokutumia
mwenyewe ndio hela yake ya kula
mwana anajuwa uhakika leo anapata chura
ghafla unapiga simu umepata dharula
kwani unashida gani we mama ashura? unaboa
usicheze na hela ya masela (usicheze na hela ya masela)
anapata tabu kutafuta hela, huruma
anapata tabu kutafuta hela, huruma
akupe we ukanunue videla
anakuita geto unagoma kuja
[chorus]
kwahiyo dada, bwana usiyempa chochote huyo kaka ako
maruf~ku, ukome k~muomba hela huyo baba ako
aaah si autaki k~mpa, huyo kaka ako huyo
ukome k~muomba hela, huyo baba ako wewe
watu mjini wametumwa hela (mjini wametumwa hela)
vya bure bure utapata jela (vya bure bure utapata jela)
watu mjini wametumwa hela
vya bure bure utapata jela


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...