lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu d voice - chizi wee

Loading...

[intro]
oke, oke
jinnn

[verse 1]
huyo my wako wewe, ndio my w~ngu mimi
anachokupa wewe ndio ananipa mimi
wewe akikupa pesa mimi ananipa chini
tuko salesale wewe unavimbia nini

[chorus]
chizi we
chizi we

[verse 2]
unaniletea shinu shinu shinu unanuna
mi k~muacha siwezi maana ananipa huduma
we kunywa sumu ufe kama inakuuma
we akikupa mbele mi ananipa
na utamu utamu napata vacation
ni kula kubata sa nitanzaje
k~muacha we unadata
unawashwa nimuache kwa nini sasa
kwake kila kitu napata
ananipa pesa sasampa
we unawasha unawasha acha hiyooo
[chorus]
chizi we
chizi we


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...