
lirik lagu d voice - baby mpya
[verse 1 : zuchu]
alokuambia kaadithiwaa
na alohadithiwa kakosea kukuambia
na aliyemwambia aliadithiwa
na yeye akakosea k~mwambia
ila sijafubaa tena sikuizi nimezidi utundu
naishukuru maisha ya murangi kama mzungu
iliyompata kijana mbagbaka
ndani sebene sebene hadira
[chorus : d voice]
sasa ya nini nifiche~fiche (baby mpya mtamu)
mimi mwenzenu siezikuificha (baby mpya mtamu)
ahh ya nini nijibanebane (baby mpya mtamu)
mimi mwenzenu siezikuificha (baby mpya mtamu)
[verse 2 : d voice]
na nilikuwa nakustiri tu
maana nisikufiche we ni mbaya sana
ninashukuru tulivyoachana
kurudiana tutaongopeana
na unakazana kushindana na waliokuzidi
huyu mwenzako kimya anakuongoza ligi
itamaliza vioo kujiseti mawigi
nshavuka level hizo, stembei na mabibi
sijafubaa tena sikuizi nimezidi utundu
naishukuru maisha ya nani kama mzungu
iliyompata kijana mbagbaka
ndani sebene sebene hadira
[chorus : d voice]
sasa ya nini nifiche~fiche (baby mpya mtamu)
mimi mwеnzenu siezikuificha (baby mpya mtamu)
eti ahh ya nini nijibanebanе (baby mpya mtamu)
mimi mwenzenu siezikuificha (baby mpya mtamu)
[verse 3 : d voice]
weka aya sasa yaliyo kali mama
yaliyo kali dada, mama yaliyo kali mama
yaliyo kali dada mama
kafanyaje huyo (ako stiwa uso ndege kwa kichwa)
kafanyaje huyo (kaenda kudaga karudi kaachika)
kafanyaje (amenunua ivoni tandika)
kafanyaje (kaambiwa ukweli hajulikani)
[verse 4 : zuchu]
aya usimuone anatetemeka ana ndida huyo
usimuone anaruka~ruka ana ndida
masela msimuone anatetemeka ana ndida huyo
usimuone anaruka~ruka ana ndida
[verse 5 : d voice]
ami sifa mengine bwana, ooh hainogi
sifa mengine bwana, kuna wale hainogi
eti nipokee simu alafu unadaiwa kodi
unaota ah, we nenda ukalale
kama nkigonga kweli niitie mbwa liko pale
oya wee unaota, we nenda ukalale
kama nikiota kweli niitie mbwa niko pale
[verse 6 : zuchu]
au haukatazi kulilia mapenzi mama dura
au haukatazi kulilia mapenzi mama dura
swali la msingi, ila kwanza umekula
swali la msingi, shoga kwanza umekula
au haukatazwi kulilia mapenzi mama dura
au haukatazwi kulilia mapenzi mama dura
swali la msingi, shoga kwanza umekula
swali la msingi, udugu kwanza umekula
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu ethan dufault - totally tubular
- lirik lagu andy dimond & the wholesome omens & max roes - cold beer
- lirik lagu benjisan - fully loaded
- lirik lagu trzyha - jedno zadanie
- lirik lagu arcy drive - inchin' up
- lirik lagu xenus - lethargy (истома)
- lirik lagu dani bumba - epuikoiencore (a carte noir session)
- lirik lagu rick grove - reptile
- lirik lagu green archive - silly
- lirik lagu jensen mcrae - mountain man