lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu country boy classic - my lover

Loading...

vile hulivojuu tu my baby sinahusemi mmh!! sioni mbele wambea huu!!
tukelele hakuna zaidi yako boo
wemwenyewe cheka cheka vilehukicheka we nachomeka
deka deka deka napale ukitaka mm!!ndo naweka

mtoto sikongoro kachaza minyama kagodoro
anachezaga ndombolo akianza katika hadi tomorrow

you’re my love love my lover
eeeh!!! my lover
sweet my love love you’re my lover eeeh!!! my lover(2)
my lover my lover
my lover my lover
my lover my lover

kwanza ahuna kasoro kasoro
walahata mgogoro gogoro
yani hupo shogolo shogolo
ukienda ukirudi ka bogolo bogolo jogoho washamba amewika chochote
utakacho mtakupa usiofu leo k~mekucha hakuna laziada we kunja ndita

mtoto sikongoro kajaza minyama kagodoro
anachezaga ndombolo akianza katika hadi tomorrow(2)

you’re my love love my lover eeeh!! my lover
sweet my love love you’re my lover eeeh!! my lover(2)

cheka cheka vile hukicheka we nachomeka
deka deka deka napale hukitaka mm!! ndo naweka


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...