lirik lagu cosign black - zaza
[verse 1]
uuuuh
me ndo ule ufanya uskie fity
nice..eeeh ufeel poa
na kama uko na stress.ni mimi ndo huzitoa
sbahatishi kukupeleka juu ntatoboa
1st timer i swear ukinitry utakohoa
compe ni nyingi but me ndo huwaweza
bila mimi unaboo ukinionja hivi unachekesha
haijalishi niko kwa cookies au misokoto
nafanya joh mnanyanya watu wanadhani mko soko
woi..ka hupendi moto moshi buda boss avoid..
niko kwa chain kikosi lazma boyz waenjoy
ka ni sherehe sikosi heri wakose msosi
na kunisare ngorii hapa bro hutoboi
but..if find me you find peace..
just one puff a day unaeza bonga chinese
aaah nmeskia fununu aty me huwachizisha
yaani nyi huachilia kila time zikishika
[chorus]
z a z a me ndo zaza…
niko kila chuom kila place utanipata
wagwan
nikiwashwa nikupuff pass
ka unadai gas bas come
naeza kupeleka up man
z a z a me ndo zaza…
ukinipiga for long hizo lung zitaitana
ama
addiction joh ni tough mahn
na nkishakukaba my friend joh hakuna kuachana
[verse 2]
uuuh me ndo hufanya uskiе fity
nageuza manzi mpole anageuka anakua frеaky
vitu naeza fanya ni crazy skufichi
nawapata mkiwa ma stranger naacha mkiwa marafiki..
so ukiwa depressed ntakuchocha unafeel better
vitu uliaambiwa huwezi nakuonyesha vile unaweza
naeza kuonyesha maajabu jua joh ikinyesha…..
ambieni wazazi wenyu natibu na cancer na pressure
bro hupendi bhangi..aaah ni situations
anxiety kuchoka plus maisha ni stressful
na ni weekend ni lazma turirime
ushapata excuse ebu washa kingine
wananivuta ju me huwavutia..
kama unadai kushikwa aah unaeza pitia
nishawashow niko kwote ady vijiji
na mwenye hanitaki nii bad vibes ama vipiii
[chorus]
z a z a me ndo zaza…
niko kila chuom kila place utanipata
wagwan
nikiwashwa nikupuff pass
ka unadai gas bas come
naeza kupeleka up man
z a z a me ndo zaza…
ukinipiga for long hizo lung zitaitana
ama
addiction joh ni tough mahn
na nkishakukaba my friend joh hakuna kuachana
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu pay (pol) - flame
- lirik lagu we$t dubai & nake - type of shii
- lirik lagu misscore - tears
- lirik lagu jenna simons grande - bubblegum girl
- lirik lagu 4iro - легендарка (legendarka)
- lirik lagu royal bliss - sunburn
- lirik lagu scoochie boochie - gotta poo
- lirik lagu koffdrop - my choice of shit
- lirik lagu little boots - hush
- lirik lagu blgbang - bigbang