lirik lagu congress musicfactory - twakutukuza
Loading...
twakutukuza
[ubeti]
u bwana
mungu mkuu
mfalme mkuu
ni wewe pekee
[ubeti]
mwenye enzi
mwenye haki
mtakatifu
ni wewe pekee
[pambio tangulizi ya 1]
twakui-inua
wastahili sifa utukufu
pamoja
twainuka…..twa….ku
[pambio ya 1]
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twakutukuza –
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
tunakupa sifa
[ubeti]
u bwana
mungu mkuu
mfalme mkuu
ni wewe pekee
mwenyezi
mwenye haki
mtakatifu
ni wewe pekee
[pambio tangulizi ya 2]
u mwaminifu
unasi katika safari
pamoja
kwa sauti twa ku…..…
[pambio ya 2]
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twa ku tu kuza
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
milele twa ku
[pambio ya 3]
tutukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
twa-kutuza
tukuza
tukuza bwana
twa-kuinua
tunakupa sifa
tunakupa sifa
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu patton oswalt - death bed
- lirik lagu otis junior - time's a wastin'
- lirik lagu wir vom prenzlauer berg - sweeep exclusive
- lirik lagu down - barney artist
- lirik lagu wilson moreira - roda de partideiro
- lirik lagu tony c the silentnoise - hello
- lirik lagu yaniss odua - moment idéal
- lirik lagu mas - sur un banc
- lirik lagu rafael valente - 016-017 (r.i.c.o)
- lirik lagu alaska y dinarama - vampirela