lirik lagu conboi - till i die
intro
yo !! its conboi you feel me !
luffa! pass me that sh~t man!
chorus
ima do this sh~t till die
kusema tuu ukweli im never gonna stop
kujiamini ndio ishakuwa lifestyle
i ain’t gotta worry about motherf~ckin non
coz hata nilipofika i never play
came a long way na ilikuwa worst days
so the f~ck now tryna tell me
dont you see blood on my feet
verse 1
young n~gga from the street
working 9 days outta week
and i never go to sleep alotta sh~t im never gonna speak lost my mama tangu niko standard three 2003
ngumu kuelewa coz ni wazi hata hajakuwa na me
been thru sh~ts toka enzi nilipokuwa rasheed
smokin this weed to release this pain inside of me
sometimes i wish my mom was here angekuwa proud of me
usiku wa manane niko natafakari
mgongo kwenye bed macho kwenye dali
nawaza mbali nataka nyumba and that f~cking rari
ndio maana mjuba huwezi nikuta kwenye kila party
sio hatari sometimes na wahuni tuki throw a party
ujue ni baada ya kazi kubwa na wala sio zali
celebrate poppin bottle tuki celebrate
lame ass n~ggas whatchu tryna hate
chorus
ima do this sh~t till die
kusema tuu ukweli im never gonna stop
kujiamini ndio ishakuwa lifestyle
i ain’t gotta worry about motherf~ckin non
coz hata nilipofika i never play
came a long way na ilikuwa worst days
so the f~ck now tryna tell me
dont you see blood on my feet
verse 2
deep in my thoughts tryna thinking bout this life
na bongo bila ya mchongo ujue ni tight
i wanna make it right thats why i dont sleep at night
hata ikiwa back to back everyday its alright
its alright , kw~ngu naona poa tuu mazee
siwazi ka nachoka maana bado niko tee
sometimes i hear voices in my head
zingine zikinikiniumiza ilimradi nipotee godd~mn
hujiulizi why napenda tuu kusizi
to me its like a thrill sio kupenga ningekuwa chizi
vitu vingine niliamua to take easy
streess ikizidi naenda uf~kweni to catch a breezy
utani wa nn kwenye kazi za watu
kma kweli unajiamini usiwe muumini wa wafu, ungana na mm ukiamini ka muumini wa mashafu
siku nnikitusua hapatakuwa na nguvu ya watu
jitihada zinakuwa zaidi ya mtoto anae tambaa, asante mungu nmekuwa ingawa baba alinkataa
siku mtupa nilimjua j~po ndugu walishangaa
ebhanae daah! nasonga na sijakata hata tamaa
chorus
ima do this sh~t till die
kusema tuu ukweli im never gonna stop
kujiamini ndio ishakuwa lifestyle
i ain’t gotta worry about motherf~ckin non
coz hata nilipofika i never play
came a long way na ilikuwa worst days
so the f~ck now tryna tell me
dont you see blood on my feet
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu woaheric - blurring today
- lirik lagu the webb brothers - mercury's in retrograde
- lirik lagu foyone - gnosis
- lirik lagu lonelynite - where the universe ends
- lirik lagu mennel - poison in the air
- lirik lagu skeez - sammelkartendeck
- lirik lagu phouelisi - cheerio
- lirik lagu slake dransky - tomorrow
- lirik lagu aggravator - suspended agonal breathing
- lirik lagu coolmowee - vintage 201984