lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu collo mfalme - conqueror

Loading...

born sinner, born again winner
kaa bazooka nalipuka kaa strife
sina mila ila vina, nina jina
take a look, it’s in the book of life
africa’s first 007
karibu kenya, kwetu 047
hapa kazi tu, 24/7
still alive kaa 365 ha!

nani process. (yes)
ndio maana nina proceed. (yeah)
instead of counting loses
hesabu zangu siku hizi huwa ku-sow seeds…mnhhh
tucheze truth or dare /
miracle baby uliza pastor deya. niko ritho kaa peddy, na pia m-scarce kaa spare
full blast power puff, p-ss there. clan ya black ku klux woooh!

ndugu ni ndugu/tattoo si heena boo
kama hujaskia lovers lie
kuku ni kuku. jogoo jina tu
caterpillar pia b-tterfly
pride, envy, wrath, gluttony, l-st, sloth, greed
devil you’re a liar, mwizi, murderer trying to destroy i… freeze!

we at the mountain top…yeah
i had to leave the valley of the shadow of death. so that the crowd can’t stop. (na)
never lose your soul confusing money for wealth, look even i fell out but did i sell out? bar for bar, i’ve held it down
from way back, bila maybach. si play back, tuko live buda payback

napepea kaa paa, wasinizibie na ganji
namesea kadhaa, usiniingizie na rangi
tembea kaa star, usizidiwe na dhambi
kemea kataa, usi-deceive-iwe na bangi
hmnh… hawaradi/ niwieni radhi
flow thitima/ nikuwapiga radi
naombea mama, mkono mtupu haulambwi
nyenyekea baba, upunguziwe kitambi

hii hata hain-need hook. it does not need a chorus. no chorus!

kutokana na hayo, niseme nini zaidi? ikiwa mungu yuko upande w-ngu, nani awezaye kunipinga?

ah zi, hio box yao siingii bana. siingii hio box yao!

mbele iko sawa hatwezi backslide pia
kwa sanaa mi ni g.o.a. t though kondoo in christ..ah
revelation, jubilation. now i know why they call me rival
restoration, reformation for the spring board of revival

victory!


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...