lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu coll!e cln - hatuforce it

Loading...

you know what i mean,,, its collie in this yea..
yayo!

it’s cold
intro mumbles…

mbogi ni dead na ni deadly
manze hatuforce it
mnhh halo
manze hatuboast it
pull up in a scene
my n~ggas hauwakosi
manze hatupost cheki
manze hamtutoshi
drip clean safi cheki
manze hatuforce it
(manze hatuforce…. x4) x2

manze hatuforce
hii ni masaa ya pedi ayo
usizime shada ju ya fegi steyo
tinga linga ling tushabreak it player
masaa niya gz cheki masaa niya tings
masaa ni ya chase yani masaa niya biz
masaa ni ya blings cheki masaa ni ya chings
masaa ni ya mbleina masaa ni ya sins
masaa ni ya huha!! masaaa ni ya kuwacha
scene shakahola
manz alifallout alipigwa na wakora
tunafanya biz na currency ni madollars
everybody has to make a wish
everybody wants to be a wish controller
utachekeshwa na mbogi ukiwa baller
unakosaga morio ukifall out
issa badder ting issa badder dan
vile me namalizanga beats
gang ni ya mabeast ukituangalia
fala amebaki akilia?
get a free love wallet ikiumia
denge akikukaribia
you can’t get enough kile ninatumia!
veveka na macadamia
napiga macup na soup ya ngamia
ninabang speakers na mahits ukiskia

mbogi ni dead na ni deadly
manze hatuforce it
mnhh halo
manze hatuboast it
pull up in a scene
my n~ggas hauwakosi
manze hatupost cheki
manze hamtutoshi
drip clean safi cheki
manze hatuforce it
(manze hatuforce…. x4) x2


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...