lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu cogyok nbi - nimeamua

Loading...

nimeamua leo, nitakutumikia
nilikotoka mimi, singejitoa
gizani kabisa, ndiko ulinipata
nilikotoka mimi, singejitoa
gizani kabisa, ndiko ulinipata x2

ayoyo
sik~mbuki ya zamani mda hunikubalishi
nasonga mbele yalopita yamepita x2
nasema
sik~mbuki ya zamani mda hunikubalishi
nasonga mbele yalopita yamepita
ayoyo
sik~mbuki ya zamani mda hunikubalishi
nasonga mbele yalopita yamepita

najua si rahisi kutoboa mpaka mwisho
kuna milima, mabonde yaningoja
mito mikubwa lakini nitajikaza
kuna milima, mabonde yaningoja
mito mikubwa lakini nitajikaza x2

yahshuah mimi nafahamu
kuwa we upande w~ngu
sibabaiki niko sure nitashinda x2
yahshua sisi twafahamu
kuwa we u upande wetu
hatutishiki nbi tutashinda x2


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...