lirik lagu cmb prezzo - let's get down
[hook: n-z-zi and prezzo]
siku moja jamaa mi aliniita
niko busy kwenye club nakatika
nimetega sikio kwenye speaker
sina muda na mtu hata dakika, ati
shawty tukutane please huko town
huku ananiangalia up and down
can i please write your number down?
okay, come let’s get down
[verse 1: prezzo]
excuse me miss, jina langu ni jackson
together me and you tutaleta action
njoo songea karibu nikupe mitikasi
sio utani ninachoomba ni nafasi
kama dakika tano tu of your time
nikueleze nilivyo ku-mind
‘toka first time nilipo-lay my eyes
on you nili-believe it’s true
kuwa ni wewe tu
i promise you
n’takupenda boo na utanipenda tu
hadi nimepiga magoti kwenye sakafu
n’takupa chochote utakacho
penz’ wape, deserve golden sandals
your love i’ll cherish, i’ll keep bila scandals
penz’ wape, deserve golden sandals
your love i’ll cherish to keep bila scandals
[hook: n-z-zi and prezzo]
siku moja jamaa mi aliniita
niko busy kwenye club nakatika
nimetega sikio kwenye speaker
sina muda na mtu hata dakika, ati
shawty tukutane please huko town
huku ananiangalia up and down
can i please write your number down?
okay, come let’s get down
[verse 2: n-z-zi]
yo, sikuweza kuringa
sikujali kama ana nyumba ama ana dinga
moyo ulizizima
the way he approached me
aliwasha moyo w-ngu kama tochi
sasa ni mimi n-z-zi na ye, siendi kokote
milele mimi na ye
namshukuru mola kutuleta sisi pamoja
nilikuwa nimeshachoka kungoja
moyo ulivyojujika huo
sasa umepona naridhika na sauti tu
sio lazima kila siku sura yake kuiona
hata bila ye kuwepo bado namwona
akilini mpaka usingizini
mchana mpaka night mawazoni yuko na mimi
namthamini ye kuliko hata madini ama hela
sio lazima utajiri
hata kwa umasikini ni mimi na ye
mungu atujalie, amini
[hook: n-z-zi and prezzo]
siku moja jamaa mi aliniita
niko busy kwenye club nakatika
nimetega sikio kwenye speaker
sina muda na mtu hata dakika, ati
shawty tukutane please huko town
huku ananiangalia up and down
can i please write your number down?
okay, come let’s get down
[verse 3: prezzo and n-z-zi]
sawa boo, you know i’m feeling you
na mpaka kufa kw-ngu you know i’ll stay true
forget the haters it’s between me and you
you and me, we spark the sensi
steam zimepanda story za mapenzi
sawa j, leta basi hiyo lighter
moto wetu itabamba mpaka ita-rise up
mimi na we tu mpaka, mpaka kifo
tighter than tight mzee, sio vitisho
tighter than tight mzee, sio vitisho
tighter than tight mzee, sio vitisho
tighter than tight mzee, sio vitisho
[hook: n-z-zi and prezzo]
siku moja jamaa mi aliniita
niko busy kwenye club nakatika
nimetega sikio kwenye speaker
sina muda na mtu hata dakika, ati
shawty tukutane please huko town
huku ananiangalia up and down
can i please write your number down?
okay, come let’s get down
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu d. femi - other half (hard to care)
- lirik lagu гио пика (gio pika) - ад-колыма (hell-kolyma)
- lirik lagu simgas - fille artificielle
- lirik lagu campusanis - heartbeat
- lirik lagu jtong - 혼란속의 형제들 (illest konfusion/brothers in confusion)
- lirik lagu laden patiens - patiens
- lirik lagu kahlia - back from the club
- lirik lagu joey dosik - game winner (stadium version)
- lirik lagu obscura - emergent evolution
- lirik lagu toehider - giants who walk with man