lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu clint fierce - kidogo

Loading...

verse 1
agiza shot ya takila
navile ulivyominya we k!ller
aste aste kabla ujanipa nimeridhika
mate mate nikishameza najiridhisha
sipimi mizani
nimetuliza gambani
mtoto christina milani
mmangu mangu muilani

bridge :
nikikosa penzi lako naparalyze, (na paralyze)
ila ukinipa ni paradise (ooh paradise)

chorus :
siunipe kidogo baby
(haya weh)
niongezee tena
(haya weh)
oooh yeah!
(haya weh)
kidogo weh!
(haya weh)
usichoke mapema!

verse 2
hicho kiuno round
the way u talk
usije ukaniona kolo
leo…nyama kwa nyama
mimi na yeye!
zileinuka inama
nakesha nayeye!
ai baby (adodo!)
yani toitoi (adoadoado)
kama koni (adodo)
-n-lamba queeni

bridge :
nikikosa penzi lako naparalyze, (naparalyze)
ila ukinipa ni paradise (ooh paradise)

chorus :
siunipe kidogo baby
(haya eh)
niongezee tena
(haya eh)
oooh yeah!
(haya eh)
kidogo weh!
(haya eh)
usichoke mapema!

outro :
mhmmm baby!
baby mwaaah!
oooh love!
nakupenda sana
nakupa moyo
hizi hisia
karibia
unaingia…mama!
(yebaaaaaah!)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...