lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ciiru - nishike mkono

Loading...

unishike mkonooh
nifungue macho nioneeeh
masikio nisikieeeh
ufahamu hekima nipateeeh

unishike mkonoooh
nifungue macho nioneeeh
masikio nisikieeeh ooouh
ufahamu hekima nipateeeh

nilipokua mdogo ulimpa mama uwezooo
nilipotaka kuanguka alinishika mkono
nilipo angukapia aliniinuaaa
nasasa ni mtu mzmaa aaah mama awezi nishika tena aaah
unishike weweeeh mkonooh
wengine wanashikwa na wezi
wengine nashikwa na majambazi
nishike wewe ulie na uzima nishike mkono
ebwana usiniache nishike pekeangu siwezi
iiii…!
eeeeeeh
aaaah

unishike mkono
nifungue macho
nionee
masikio nisikieeeh
ufahamu hekima nipate

unishike mkono
nifungue macho
nionee
masikio nisikiee oohuh
ufahamu hekima nipatee…!

macho yangu hayaoni
nifungue nione
masikio nisikie nini?
wasema
umesema mengi sijasikia
maana masikio yangu yameziba
aaah bwana
umenionesha mengi
sijaona maana macho yangu hayaoni nioneshe njia yako ambayo nitapita
nisikie maneno yako
yanijaze ufahamu
umesema utanifundishaaa
nipate akili
masikio yatasikia unayo sema
aaah
bwana sema nisikieee
nifungue eeeh
baba yooo
aaaho
nifungueeee
macho
masikio
unishike mkonooo
bwanaaaah

unishike mkonoooh
nifungue macho
nioneee
masikio nisikieeeh
ufahamu hekima nipatee

unishike mkonooh
nifungue macho
nionee h
masikio nisikieeh ohouh
ufahamu hekims nipatee

wewe ni hekima yanguu
wewe ni mwalimu w-ngu
unaningojea nikushikeee
nishike
nishike
nishike
nijue namna yakuamua
nitokapo
na
ningiapo
katikati ya watu wako
nitokapo
na
naningiapo
katikati ya watu wote
nipe hekima maana wewe
nihekima
ebwana ebwana
nakwitaji wewee babaaah nipatekufika kwakooooh
ooh
unishike mkonoooooh
twende wote bwana aha

unishike mkono
nifungue macho
nioneeh
masikio nisikiee
ufahamu hekima nipatee

unishike mkono
nifungue macho
nioneee
masikio nisikie ohouh
ufahamu hekima nipateee…!

mwaselela around the world

editng by deuschorobi
be blessed%


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...