lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu christina shusho - adamu

Loading...

mungu alipo muumba adamu
hak~mwacha awe pekeyake
akamfanyia msaidizi wakufanana naye

nyama yake katika nyama zake mfupa wake kati mifupa yake

mwanamume ataacha wazazi wake ataambatana na mkewe mwanamke ataacha wazazi wake ataambatana na mumewe
hawa wawili watakuwa mwili mmoja kwani nia moja washirikiane kwa pamoja

mambo haya matetu yawe ngao kwa upendo wenu eeeh hee hee hee
mambo haya matetu yatumike katika ndoa yenu eeh hee hee hee

nakupenda(mpenzi w~ngu ulivyoumbika)nakupenda(katika viumbe umezidi wote)nakupenda(nimekuchagua uwe w~ngu)nakupenda(kifo tu kitutenganishe)nisamehe(nikukosea unisamehe)nisamehe(nisamehe nisamehe mpenzi)nisamehe(mimi ni mwanadamu wala c malaika)nisamehe(ninaomba nisamehe mpenzi)asante(kwa kunichagua niwe wako)asante(umetimiza ahadi ya ndoa)asante(nitajitahidi niwe mwaminifu)asante(asante mpenzi w~ngu)asante

tuzishike sheria za mungu tutapona eeh tutapona eeh
tusikilize wenye hekima tutapona eeh tutapona eeh
kama kujenga watu wawili mimi nawewe tutunze ndoa yetu eeh
tusisikilize walimwengu hawana wema hawana wema hao
tupate kwa neno tulichuje lililo jema liwe letu
mpenzi w~ngu

nakupenda(mpenzi w~ngu ulivyoumbika)nakupenda(katika viumbe umezidi wote)nakupenda(nimekuchagua uwe w~ngu)nakupenda(kifo tu kitutenganishe)nisamehe(nikukosea unisamehe)nisamehe(nisamehe nisamehe mpenzi)nisamehe(mimi ni mwanadamu wala c malaika)nisamehe(ninaomba nisamehe mpenzi)asante(kwa kunichagua niwe wako)asante(umetimiza ahadi ya ndoa)asante(nitajitahidi niwe mwaminifu)asante(asante mpenzi w~ngu)asante

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...