lirik lagu chris kaiga - nairobi girl
[chorus]
back it up girl ni ka unapiga reverse
katika mpaka dj apull up hii verse
chachisha kutoka ngware hadi giza
wakisha nare lights zikizimwa
piga puff puff alafu pass pass
zikishika sana mamii dunga gas mask
cheki ras ras, ako na cash cash
where the bash at nichangamke chap chap
[verse 1]
kuna msichana flani hapa, msawa sana
nikamuuliza kama anaona tukiwai achana
ai apana, ju venye uwaga umeni~murder
figure namba nane love it ukichora saba
yeesh
and thats just the half of it
coz if i ever tell ’em all, i know we’ll split
na singetaka, ju iwe lagos ama kampala
anywhere we go bado nitadai ule mjanja
[chorus]
back it up girl ni ka unapiga reverse
katika mpaka dj apull up hii verse
chachisha kutoka ngware hadi giza
wakisha nare lights zikizimwa
piga puff puff alafu pass pass
zikishika sana mamii dunga gas mask
cheki ras ras, ako na cash cash
where the bash at nichangamkе chap chap
[verse 2]
ka~ras na~need gala real kama madrid
na ananipa, the love i need hata tukikasirikiana
good girl gonе bad na anakaa rihanna
ni madam classy, pia ni hustler
ride~or~die kwa ma~party ama ndani ya mansion
si hupendana ju ya blackie ama ndani ya jaguar
anafanya nafeel aki ka a hundred thousand
[chorus]
back it up girl ni ka unapiga reverse
katika mpaka dj apull hii verse
chachisha kutoka ngware hadi giza
wakisha nare lights zikizimwa
piga puff puff alafu pass pass
zikishika sana mamii dunga gas mask
cheki ras ras, ako na cash cash
where the bash at nichangamke chap chap
back it up girl ni ka unapiga reverse
katika mpaka dj apull hii verse
chachisha kutoka ngware hadi giza
wakisha nare lights zikizimwa
piga puff puff alafu pass pass
zikishika sana mamii dunga gas mask
cheki ras ras, ako na cash cash
where the bash at nichangamke chap chap
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu bts - 달려라 방탄 (run
- lirik lagu banda beija mais - agonia
- lirik lagu jillian jacqueline - the ocean
- lirik lagu jazicality - i'm listening
- lirik lagu abbasquiat - daysa | دايسه
- lirik lagu junatime - paradise
- lirik lagu morkera - conjuring shades
- lirik lagu shady blu - jealousy
- lirik lagu ayce comet - b side
- lirik lagu sxmon - спокойность (calmness)