lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu chelea man - usiniache

Loading...

[intro:]
usiniache
usiniache
usiniache
usiniache

[chorus:]
naomba unipende kama nilivyo mi msela ( usiniache )
naomba unipende kama nilivyo mi msela ( usiniache )
hivi’ ndivyo mimi nilivyo mimi msela ( usiniache )
hivi’ ndivyo mimi nilivyo mimi msela
( usiniache )
[verse 1:]
wasiwasi juu ya maisha kabwela mi sina hela
na nilivyo tight sasa nahisi utanikimbia ah
leo nnacho kesho sina mola ndio alionipangia
ushakula ngombe mzima basi mkia malizia ah
na roho yangu gizani tunda nililozoea we ndo w~ngu mrs
ukiniacha utanionea ah
oh why eh oh oh
baby yeah oh
oh oh oh baby girl, my baby girl
oh!

[chorus:]
naomba unipende kama nilivyo mi msela ( usiniache )
naomba unipende kama nilivyo mi msela ( usiniache )
hivi’ ndivyo mimi nilivyo mimi msela ( usiniache )
hivi’ ndivyo mimi nilivyo mimi msela
(usiniache )

[verse 2:]
sometimes napiga debe namwaga zеge eh
yote nafanya (?) nikanywе mbege eh
sometimes napiga debe namwaga zege oh uu oh
yote nafanya (?) nikanywe mbege everyday
ka (?) nshafika, nairobi nshakwenda naangaika na dunia ila mola hajanipa
nawe uwe na huruma mama
nawe uwe na huruma baby
nawe uwe na huruma baby eh
[chorus:]
naomba unipende kama nilivyo mi msela ( usiniache )
naomba unipende kama nilivyo mi msela ( usiniache )
hivi’ ndivyo mimi nilivyo mimi msela ( usiniache )
hivi’ ndivyo mimi nilivyo mimi msela
(usiniache )

[verse 3:]
nalilia mapenzi yako we sarah
nalilia furaha yako mamy
nalilia mapenzi yako we sarah
nalilia furaha yako baby eh
tabu na njaa mi vinanishambulia >> mimi
cheki nilivyo pungua mimi nashambuliwa wivu na misukosuko vinanishambulia >> mimi
mimi msela mama yeah yeah yeah
kabwela baby >> woah woah woah

[bridge:]
endapo ukiniacha mi ukanikimbia ni sawa unachezea maisha yangu
sasa wimbo mzuri baby nakuimbia hiyo yote ulitunze penzi langu
endapo ukiniacha mi ukanikimbia ni sawa unachezea maisha yangu
sasa wimbo mzuri baby nakuimbia hiyo yote ulitunze penzi langu

[chorus:]
naomba unipende kama nilivyo mi msela ( usiniache )
naomba unipende kama nilivyo mi msela ( usiniache )
hivi’ ndivyo mimi nilivyo mimi msela ( usiniache )
hivi’ ndivyo mimi nilivyo mimi msela
( usiniache )
[outro:]
uh huh
chelea man, ( listen! )
kama kawa production
cassian mbowali, haha
marco chali
oh
baby eh…

(instrumentals)

[post~chorus:]
naomba unipende kama nilivyo mi msela
naomba unipende kama nilivyo mi msela
hivi’ ndivyo mimi nilivyo mimi msela
hivi’ ndivyo mimi nilivyo mimi msela

(instrumentals)

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...