lirik lagu chege - kipofu
[intro]
yo!
check it out, yo
oh, oh
(ma~feeling make it)
[verse 1: chege]
amenijaa na makopa
amesusa, amenipa vya kushoto
mlima, ma wa lushoto
nauona mi nasimama dede, mh
napendwa mpaka naogopa
haki ya mungu ili penzi la moto
nabembelezwa kama mtoto
hadi naimbaga, ‘mama nibebe
oh, ooh, oh, ooh, oh
[hook: chege]
anipaga raha za pwani
ye mwenyeji wa visiwani
nikiwaga naye mwandani
mapenzi raha burudani
[pre~chorus: chege]
kama naumwa malaria
homa yangu ni kali
kama dawa ‘dozi ghali
mama yangu ‘dozi ghali
yaani wewe wa pekee
mambo mengine we usiongezee, eh
mwenyewe si unaona?
joto limepanda digrii
[chorus: alikiba]
mi sioni, oni, oh (aah, aah, aah)
mi sioni, eh (aah, aah)
kipofu kabisa (aah, aah, aah)
napapasa (aah, aah)
natapatapa (aah, aah, aah)
mi naona raha (aah, aah)
sioni mwenzio, oh (aah, aah, aah)
na mniache (aah, aah)
aaah, aaah, aaah
aaah, aaah, aaah
aaah, aah
[verse 3: alikiba]
hata kama mapenzi ni ujuzi
nafsi yangu kanakana
nikilala nitaambulia mashuzi
naona ka itashindikana
bora sasa nifanye mazoezi
niende sawa na vijana
nijiepushe kupatwa na uchizi
waja wakaninyang’anya
mbele sioni, na masikio nimeziba
nyie hamjui, anachonipa kinanifaa
kunitoa pangoni, kwa sauti yake ya kupendeza
vya kulala havilaliki, mpaka tunamaliza
[hook: alikiba]
kama naumwa malaria
homa yangu ni kali
kama dawa ‘dozi ghali
mama yangu ‘dozi ghali
kwani we ndio wa pekee
mambo mengine we usiongezee, eh
mwenyewe si unaona?
joto limepanda digrii
[chorus: alikiba]
mi sioni, oni, oh (aah, aah, aah)
mi sioni, eh (aah, aah)
kipofu kabisa (aah, aah, aah)
napapasa (aah, aah)
natapatapa (aah, aah, aah)
mi naona raha (aah, aah)
sioni mwenzio, oh (aah, aah, aah)
na mniache, eh(aah, aah)
aaah, aaah, aaah
[outro: chege & alikiba]
aaah, aaah, aaah
aaah, aah
oh, ooh, oh
anipaga raha za pwani
ye mwenyeji wa visiwani
nikiwaga naye mwandani
mapenzi raha burudani
anipaga raha za pwani
ye mwenyeji wa visiwani
visiwani, oni, yeah
nikiwaga naye mwandani
kipofu kabisa
mapenzi raha burudani
natapata
(the mix k!ller)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu the slut banks - rock this town
- lirik lagu ryan shepherd - never give up on you
- lirik lagu polus - anti sistema
- lirik lagu vxnmpy - parkway
- lirik lagu blogueirinha - cuzón
- lirik lagu aphect - da one
- lirik lagu مايو عماد - a'ltayer - عالطاير - mayo imad
- lirik lagu losteyes - 18+
- lirik lagu jnabe - d m c burque
- lirik lagu jarcanges - gente guy