lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu charisma (ke) - sherehe

Loading...

kile uliambiwa ni kweli, mi hushindanga sherehe on a daily
ndio maana introverts hawanipendi, kujibonga ndio inaleta wasupa wengi, ooh
wananiita pappito pappito, mastingo mastingo ni za kimanengo
natoka klabu wa mwisho wa mwisho, kwa mf~ko ni zero lawama ni ya kesho
el capitan, unapenda usherati na warembo mali sa (na warembo mali safi)
yes, mwili imechoka, lakini bado ninagotha (bado nagotha)
anarombosa, ni mi nawashow hana ngotha (hana ngotha)
ni dem wa umoja, na ameomoka
si tuko mavitu, na tunazoza
washa kishada, kama uko nervous
toanga kijaba, usije lala
kuna walevi wamekuja wamenyanya
akina dada wanataka biringanya

ndio sherehe imeanza, ndio sherehe imeanza
kwa sherehe utatupata, kwa sherehe utatupata
ahh ahh, ahh ahh, ahh ahh, ahh ahh
ahh ahh, ahh ahh, ahh ahh, ahh ahh

tukifika kwenye party, statemеnt ya kifahari
marashi za bei hali, dior na maversace
chini piga nikеy (let’s do it), na pamba safi
wrist na shingo ziwe icy, sub~zero fatality
ehh, ndio k~malo ndio kudonjo kwenye sheree
style ni deadly deadly kila mtu na mbeibe
dj ongeza tena speaker ziheme, watu wacheze
kuna rambo na ndiambo, we shika wako
kila mtu obrigado, k~ma thum ochopo ko’wamiela miela nyere
kineno ka iro dung mano koro iriembo jochiende eeeeeh
kodong kodong
eeeeh
ko ko kodong
washa kishada, kama uko nervous
toanga kijaba, usije lala
kuna walevi wamekuja wamenyanya
akina dada wanataka biringanya

ndio sherehe imeanza, ndio sherehe imeanza
kwa sherehe utatupata, kwa sherehe utatupata
ahh ahh, ahh ahh, ahh ahh, ahh ahh
ahh ahh, ahh ahh, ahh ahh, ahh ahh


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...